Nimeibiwa kuku wa nyama

Nimeibiwa kuku wa nyama

Mbona kama ulivyoeleza ni simple kuwabaini. Kwani wanakuchanganyia wapi?
Tenga linakua limefunikwa na gunia,na kuna jinsi wanawabana wakati wanachukua ,wewe kwa sababu upo na furaha unawaza maokoto huwezi kuhisi chochote, usikubali tenga lifungwe na gunia mpaka watakapo maliza ,
 
Uwo wizi upo sana nafikiri ungekuwepo kwenye ma group ya wafuga broiler ungekuwa umeshasanuka kitambo , mara ya kwanza nasikia ilikuwa 2019 na mfugaji mwenzio aliibiwa kwa style hiyo sema aliyeiba alikuwa mwenyewe na pikipiki
Hiyo style ikoje hebu elezekea ambacho huwa kinatokea!?
 
Mkuu hebu lielezee tukio vzr nasi tujifunze!
Asanteni 🙏🏽🙏🏽

Yan total waliyoniibia ni kuku 208
208x6500=1,352,000
Kiulainiiii kmmm


Yan wale wanatumia dawa plus kukuzubaisha kila mtu anakuongelesha huyu anakushauri hivi huyu hivi yani maneno mengi
 
Humu sio pa mchezo,Kuna jamaa humu JF aliwahi kusema hakimu flani anapindisha haki yetu na atakufa.Na akafa kweli.
Top gear yaan napenda wote wanaodhulumu haki za watu wafe wotee kwa kweli
 
Duh pole dear...ngoja nimsanue bimkubwa ndo biashara yake hii
 
Dah ukishakuwa mfugaji acha UPISI KALI simamia vizuri biashara,usiruhusu mtu kuingia bandani Kwako tena na maviroba ivyo tena kwenye Banda la broiler uwiiii😀 hao jamaa wanaonunua kuku ni wezi sana wamekusoma tu uzembe wako wakajaza kuku kwenye viroba tofauti na mlivyokubaliana maana we mwenyewe haukufanya physical verification ,Maza yangu anapiga iyo business uwa ni mtata balaa uwa anahesabu kuku mara mbili yaani mteja kwanza aruhusiwi kuingia bandani Kuna wachawi na wengine wanaingiza magonjwa
 
Duh pole dear...ngoja nimsanue bimkubwa ndo biashara yake hii
Uyo amepigwa kwenye mahesabu iyo biashara inatakiwa usiruhusu kwanza mnunuzi kuingia bandani analeta magonjwa na wengine Hadi wanahirizi ,pia kwenye kuhesabu ukiwa MZEMBE lazima upigwe,uyo pisi Kali inaonekana alirelax akawaacha wahuni wajihesabie kuku wenyewe na maviroba bandani wakawa wanajijazia kuku kwenye kiroba,njia nyingine wanayotumia ni kukuzoesha kukukopa kuku ukishazoea siku wanakukopa mzigo mkubwa Kisha wanapotea mazima
 
Kuna kitu within the situation just report them and according to your name pisikali it means they're is something behind it fuata sheria
 
Back
Top Bottom