Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Mara ya mwisho kutoa fungu la kumi ilikuwa lini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tenga linakua limefunikwa na gunia,na kuna jinsi wanawabana wakati wanachukua ,wewe kwa sababu upo na furaha unawaza maokoto huwezi kuhisi chochote, usikubali tenga lifungwe na gunia mpaka watakapo maliza ,Mbona kama ulivyoeleza ni simple kuwabaini. Kwani wanakuchanganyia wapi?
Kuku mmoja wa nyama ni kati ya 10 mpaka 15k kwa kuki 200, ni zaidi ya huyo 1.5m
Hawa hawa wa moto, vinyonyoki, shambaReal? Shambani au wapi? Hawa kuku wa Mtaani ni vibudu au?
na posho naacha ya maana kabisaUnapenda mseleleko
Basi kuna watu wana bahatina posho naacha ya maana kabisa
usiichezee sasa...kingine unabahati sana,me siyo mrahisi rahisi...Basi kuna watu wana bahati
Hiyo style ikoje hebu elezekea ambacho huwa kinatokea!?Uwo wizi upo sana nafikiri ungekuwepo kwenye ma group ya wafuga broiler ungekuwa umeshasanuka kitambo , mara ya kwanza nasikia ilikuwa 2019 na mfugaji mwenzio aliibiwa kwa style hiyo sema aliyeiba alikuwa mwenyewe na pikipiki
Asanteni 🙏🏽🙏🏽
Yan total waliyoniibia ni kuku 208
208x6500=1,352,000
Kiulainiiii kmmm
Yan wale wanatumia dawa plus kukuzubaisha kila mtu anakuongelesha huyu anakushauri hivi huyu hivi yani maneno mengi
Jamanusiichezee sasa...kingine unabahati sana,me siyo mrahisi rahisi...
Asubuhi ya kiingereza inaanza saa 6 usiku (00.00 am) jombaAsubuhi haijafika bado mbona?!
Humu sio pa mchezo,Kuna jamaa humu JF aliwahi kusema hakimu flani anapindisha haki yetu na atakufa.Na akafa kweli.Sawa mkuu msaidie pisi
Top gear yaan napenda wote wanaodhulumu haki za watu wafe wotee kwa kweliHumu sio pa mchezo,Kuna jamaa humu JF aliwahi kusema hakimu flani anapindisha haki yetu na atakufa.Na akafa kweli.
Uyo amepigwa kwenye mahesabu iyo biashara inatakiwa usiruhusu kwanza mnunuzi kuingia bandani analeta magonjwa na wengine Hadi wanahirizi ,pia kwenye kuhesabu ukiwa MZEMBE lazima upigwe,uyo pisi Kali inaonekana alirelax akawaacha wahuni wajihesabie kuku wenyewe na maviroba bandani wakawa wanajijazia kuku kwenye kiroba,njia nyingine wanayotumia ni kukuzoesha kukukopa kuku ukishazoea siku wanakukopa mzigo mkubwa Kisha wanapotea mazimaDuh pole dear...ngoja nimsanue bimkubwa ndo biashara yake hii