Tulifanyiwa huo mchezo mwaka 1998Nina majonzi nimeshindwa hata kuandika vizuri
Ila ni tukio la kweli na hao watu inasemekana ndio michezo yao muda mrefu sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tulifanyiwa huo mchezo mwaka 1998Nina majonzi nimeshindwa hata kuandika vizuri
Ila ni tukio la kweli na hao watu inasemekana ndio michezo yao muda mrefu sana
Ulivyo andika tu inaonesha hauko serious tunaona kama una tania tu hii habariAsubuhi ya leo nimeibiwa kuku wa nyama 200+ na wababa wa tano tena wana nguvu zao tu jamani😭😭😭
Alikuja mmoja na boda akasema nataka kuku 100, kaja saa12 alfajir akasema ngoja nikachukue tenga
Kurudi kaja na wababa 4 wana pickup nyeupe😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Wezi wenyewe hao hapo
Kwanini uliwakubalia wao ndiyo wakamate kuku ?....na kama picha zao unazo unaweza kuwa saka tu ..tatizo ushahidi watakuambia wewe muongo wao wamechukua kuku kamili ...swala la wizi wa hivyo mimi nilijua limekwisha maana siku hizi wafugaji wote wanajua huo wizi ....kuna kipindi zamani walijaribu kuiba kuku kwa njia hiyo nyumbani tuliwabana jinsi ya kuchukua kuku ...wakaanza kusema kama atutaki wawakamate wenyewe bandani basi ..wakaondoka walikuwa ni wezi.Asubuhi ya leo nimeibiwa kuku wa nyama 200+ na wababa wa tano tena wana nguvu zao tu jamani😭😭😭
Alikuja mmoja na boda akasema nataka kuku 100, kaja saa12 alfajir akasema ngoja nikachukue tenga
Kurudi kaja na wababa 4 wana pickup nyeupe😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Wezi wenyewe hao hapo
Wewe upo sahihi ...ukiwabana wanajidai kuchukiaMkuu ukiingia project yeyote leta hapa jukwaani upewe maujanja usikae uruhusu mteja kuingia kwenye banda lako hata siku moja Wana namna wanakuchanganya wanakamata wawili wawili hakuna kiini macho hapo walikuona labda hujui hiyo mbinu yao na lazima muwe wawili akitoka bandani anahesabiwa mlangoni mmoja mmoja ukiwabana utaona wanazingua unatupotezea muda watajifanya kuchukia wanaondoka kumbe wanajua ujanja wao umeshtukiwa. Sio hao tu hata wateja kawaida ukimruhusu kuingia kwenye Banda umeisha Atanunua kuku 20 ataondoka 40 ogopa sana hawa wateja wanakuja na tenga wakiwa wawili au wanne then wataka kuingia bandani chagua
Waambie bandani naingia mm tu kuepusha kuambukiza kuku magonjwa na unakuwa una kijana wako mlangoni kuku akitoka kwako anapita kwa kijana then anaenda nje.
Kweli wa Israel, maana hao Waua YESU KRISTO wanayoyafanya ni Mungu wao tu anaweza kuwasaidia!Mungu wa Israel...ila kwa maelezo ya ndugu yetu ni kwamba wezi wake ni wastaarabu..wamekuja kukagua kwanza,kisha wakaahidi kurudi na tenga,kosa naloona hapa ni kuleta pickup
Kwani wewe una Kinga ya kifoNakuapia watakufa wote. Uliza uambiwe.
Uombe Mungu gani ili ukavune vya wenzio?
Hakuna ushirikina Wala dawa. Ni mzembe wa Hali ya juu na hajui kufanya biashara. Utawaamini vipi watu usiowajuaPole, sana nimesoma tena na tena nahisi upo kwenye mfadhaiko na maumivu makali. Pole sana rafiki wametumia ushirikina hao watu.
Aseme tuwarogeTuwalaani kwa jina la Bwana.
Wafe wote
Hakuna kesi hapo. Sababu walilipa kuku 60 na hao wengine ushahidi uko wapi kuwa walichukua wao. Hizo picha aliwapiga wakati wanachukua akiwa naoPole sana dada katoe taarifa polisi upate RB kwa hizo picha ulizowekwa hapo ni rahisi sana kuwapata
Nakumbuka miaka 26 iliyopita wapo walionijaribu na noti bandia na hawakutoboa
Au upo China maan huko ndio ilikuwa Asubuh huku ilikuwa bado usiku wa saa 9Asubuhi ya leo nimeibiwa kuku wa nyama 200+ na wababa wa tano tena wana nguvu zao tu jamani😭😭😭
Alikuja mmoja na boda akasema nataka kuku 100, kaja saa12 alfajir akasema ngoja nikachukue tenga
Kurudi kaja na wababa 4 wana pickup nyeupe😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Wezi wenyewe hao hapo
Wewe ni mzembe sana na rahisi kutapeliwa. Unachukua pesa unawapelekea wachungaji maombi. Wahi kitengo Cha tiba ya akili usiendelee kusumbua watu, kumbe wewe ndiyo tatizoMwezi wa 10 tar 12 na nilipanga mwezi wa 11 nikatoe sadaka kwa watoto but still nitapeleka asilimia kadhaa
Hujaeleweka. Funguka vzr wameibajeAsubuhi ya leo nimeibiwa kuku wa nyama 200+ na wababa wa tano tena wana nguvu zao tu jamani😭😭😭
Alikuja mmoja na boda akasema nataka kuku 100, kaja saa12 alfajir akasema ngoja nikachukue tenga
Kurudi kaja na wababa 4 wana pickup nyeupe😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Wezi wenyewe hao hapo
ukipigwa uchawi unakumbuka kelele?Pole pisi wangu
Unaishije na majirani ungepiga hata kelele?
Namba za gari umekariri?
Hii kesi hashindi wala asihangaike na polisi, labda atumie njia nyingine kulipa kisasi.Pole sana dada katoe taarifa polisi upate RB kwa hizo picha ulizowekwa hapo ni rahisi sana kuwapata
Nakumbuka miaka 26 iliyopita wapo walionijaribu na noti bandia na hawakutoboa
Wanakuchanganya wakati wa kuhesabu, wewe unatakiwa kukaa mlangoni akishachagua wewe unahesabu unampa wa nje akapakie kwenye tenga / gari.Asanteni 🙏🏽🙏🏽
Yan total waliyoniibia ni kuku 208
208x6500=1,352,000
Kiulainiiii kmmm
Yan wale wanatumia dawa plus kukuzubaisha kila mtu anakuongelesha huyu anakushauri hivi huyu hivi yani maneno mengi
Naomba link mkuuHumu sio pa mchezo,Kuna jamaa humu JF aliwahi kusema hakimu flani anapindisha haki yetu na atakufa.Na akafa kweli.
Ogopa Mungu na tekinolojiaHii kesi hashindi wala asihangaike na polisi, labda atumie njia nyingine kulipa kisasi.
Akiwakamata wanafungwa kufundisha kupata ushahidi hapa ni kufunza uhalifu, sio kila kitu husemwaHakuna kesi hapo. Sababu walilipa kuku 60 na hao wengine ushahidi uko wapi kuwa walichukua wao. Hizo picha aliwapiga wakati wanachukua akiwa nao
Watafungwa Kwa ushahidi upi wakati walilipia kuku 60, hao wengine ana ushahidi gani kama wao ndiyo waliiba. JiulizeOgopa Mungu na tekinolojia
Akiwakamata wanafungwa kufundisha kupata ushahidi hapa ni kufunza uhalifu, sio kila kitu husemwa