Nimeibiwa kuku wa nyama

Cheki na waliokuja kukagua
 
Hakuna kitu special kilichotokea. Ni jamaa alisema hakimu fulani anakula rushwa na kumtishia kuwa akome. baada ya siku kadhaa yule hakimu akafariki. llikuwa ni coincidence tu.
Nadhani pia ni hivyo, Kifo hakiepukiki sioni uhusiano wa kifo chake na yaliyosemwa.
 
Haya utatishia wajinga wenzako huko uswekeni kwenu na siyo mtu kama mimi. Huko huko mnakoishi na imani zenu za kijinga kuwa jini linaweza kuwalawiti na kuwanyonga. Mimi hilo jina wala siamini kama kuna kiumbe kama hicho.
Danganya watoto na wajinga. Nyie ndio vichawi na mawakala wa shetani mnadanganya kwa makusudi.
 
Watafungwa Kwa ushahidi upi wakati walilipia kuku 60, hao wengine ana ushahidi gani kama wao ndiyo waliiba. Jiulize
Hapa hakunaa Kesii yanii huyu dada Ndo kazingua kaibiwaa kipuuzi sana na hao wezi wanaweza kumgeuzia kibao maana sio kwamba walivunja wakaiba kuku ila walimlipa kabisaa na hela za kuku waliochukua sasa inakuwaje ageukee kusema wamemuibiaa..????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…