Tajiri wa matajiri
Senior Member
- Apr 17, 2024
- 166
- 649
Daah sijui kwanini vibaka wa stendi ya Magufuli wanapenda kunionea hivi yaani hii ni mara ya tatu kunifanyia hivi wakuu yaani pamoja na kuwa kwenye gari langu la IST na pamoja na kulock mlango wa gari bado nikaibiwa wakuu sijui hawa jamaa daaah!
Wakati namsindikiza wife alikuwa anaenda kwao kusalimia Singida na nikampandisha kwenye gari la ABC bwana nikaliacha gari langu pale nikampandisha wife nikarudi kwenye gari langu nikakuta mlango wa gari umefunguliwa na pesa zote milioni 10 zimechukuliwa, kompyuta mpakato imechukuliwa na vitambulisho vyangu vimechukuliwa daaah😭😭😭😭