Nimeibiwa milioni 10 stendi ya mabasi ya Magufuli Mbezi

Nimeibiwa milioni 10 stendi ya mabasi ya Magufuli Mbezi

Daah sijui kwanini vibaka wa stendi ya magufuli wanapenda kunionea hivi yaani hii ni mara ya tatu kunifanyia hivi wakuu yaani pamoja na kuwa kwenye gari langu la IST na pamoja na kulock mlango wa gari bado nikaibiwa wakuu sijui hawa jamaa daaah!

Wakati namsindikiza wife alikuwa anaenda kwao kusalimia singida na nikampandisha kwenye gari la ABC bwana nikaliacha gari langu pale nikampandisha wife nikarudi kwenye gari langu nikakuta mlango wa gari umefunguliwa na pesa zote milioni 10 zimechukuliwa,kompyuta mpakato imechukuliwa na vitambulisho vyangu vimechukuliwa daaah😭😭😭😭
Badoo wakuchukue na wewe shukurusana
 
Unaitaji dawa ya ujanja piga 0754 201666
 
Unaweza kukuta haya maisha tunayoishi siyo ya kweli, ni mungu anamsimulia adamu namna tutakavyo struggle akila tunda.
 
Ulipaki gali sehem gani??

Pale mbezi kuna camera boss ukifuatilia unaweza kumuona mti alieiba pesa
 
Tufanye hivi, chukua pesa zako mambo yasiwe mengi! Pole sana
Screenshot_2024-07-30-21-35-26-32_965bbf4d18d205f782c6b8409c5773a4.jpg
 
Hii chai ingekuwa na masala powder ingekuwa tamu sana 😛😛😛
 
Huyu jamaa hata gari Hana,mtu mweny uwezo wa kumiliki gari hawez akaibiwa kizembe hivyo!!!! Hapa tunasumbuka na mhuni tu kaamua achemshe vichwa watu
 
Unatembea na cash yote hiyo kwa ajili gani?
Lowasa aliwahi kusema vipaumbele vyake 3 ni moja Elimu pili Elimu na tatu Elimu, wengi hawakuelewa. Imagine mtu anaenda stendi,tena inayosifika kwa vibaka na 10mill Cash really?? Nchi nzima mpaka vijijini kuna wakala wa kutoa na kuweka pesa, mabenki kibai, lipa namba mpaka hata groceries, Bar,mpaka baadhi ya dada poa wanazo...
 
Pole sana ndugu, huyo aliyekuibia inawezekana alijua kuwa unabegi lenye fedha kwenye gari kabla hata haujaenda stendi.

Pale yanapaki magari mengi lakini bila shaka wameingia kwenye gari lako tu.

Weka tint kwenye vioo watu wasiweze kuchungulia ndani, lakini pia chunguza hatua zako ujue ni wapi hao wezi huwa wanagundua kuwa una hela kwenye gari.
 
Back
Top Bottom