Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Sema kagari kangu ka ISTkwenye gari langu la IST
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sema kagari kangu ka ISTkwenye gari langu la IST
Huyu jamaa hata mimi nilitaka kuuliza mbona huu uzi wa mashtaka ya hv ushawahi postiwa miaka mingapi nyuma tena kopi and paste kbs,jamaa anafanya hv aidha adake mademu wakijua ana hela au kuwapiga watu😂😂👊Huu ni uzi wa 5 unasema umeibiwa unafungua I'd mpya with the same story
You waste ur time
😹😹😹nipigieee nipo freeUko wapi? 😀
😆😆😆 Baba watoto wako kasafiri?😹😹😹nipigieee nipo free
Nashukuru kwa matusi yako mkuuDo you think we gonna buy this bullshit!!? Get urself checked you bastard
Hata Morogoro nako aliibiwa milioni kadhaa na madada poa. Jamaa anaongoza kwa kuibiwa aisee 😁😁😁🚮Huu ni uzi wa 5 unasema umeibiwa unafungua I'd mpya with the same story
You waste ur time
WeweUnamtaka nani??
Huu ni uzi wa 5 unasema umeibiwa unafungua I'd mpya with the same story
You waste ur time
Mjinga huyu.Chai.
Washakujua unataka wakufanyaje zaido ya kuibiwa??Daah sijui kwanini vibaka wa stendi ya magufuli wanapenda kunionea hivi yaani hii ni mara ya tatu kunifanyia hivi wakuu yaani pamoja na kuwa kwenye gari langu la IST na pamoja na kulock mlango wa gari bado nikaibiwa wakuu sijui hawa jamaa daaah...