Nimeibiwa milioni 10 stendi ya mabasi ya Magufuli Mbezi

Daah sijui kwanini vibaka wa stendi ya Magufuli wanapenda kunionea hivi yaani hii ni mara ya tatu kunifanyia hivi wakuu yaani pamoja na kuwa kwenye gari langu la IST na pamoja na kulock mlango wa gari bado nikaibiwa wakuu sijui hawa jamaa daaah!

Wakati namsindikiza wife alikuwa anaenda kwao kusalimia singida na nikampandisha kwenye gari la ABC bwana nikaliacha gari langu pale nikampandisha wife nikarudi kwenye gari langu nikakuta mlango wa gari umefunguliwa na pesa zote milioni 10 zimechukuliwa, kompyuta mpakato imechukuliwa na vitambulisho vyangu vimechukuliwa daaah😭😭😭😭
Hadithi Yako nzuri sana

Hongera ,Tuna na salamu .

Seminar za maskari kuhusu usalama wa pesa wewe hazikukusaidia?
 
Uongozi wa design hii haukupendezi, I don't buy this
 
Hata Morogoro nako aliibiwa milioni kadhaa na madada poa. Jamaa anaongoza kwa kuibiwa aisee 😁😁😁🚮

Na mark X yake
 
Lowasa aliwahi kusema vipaumbele vyake 3 ni moja Elimu pili Elimu na tatu Elimu, wengi hawakuelewa. Imagine mtu anaenda stendi,tena inayosifika kwa vibaka na 10mill Cash really?? Nchi nzima mpaka vijijini kuna wakala wa kutoa na kuweka pesa, mabenki kibai, lipa namba mpaka hata groceries, Bar,mpaka baadhi ya dada poa wanazo...
Ngoja tusiisikilize sababu yake, huenda ina mashiko.
Otherwise ni ushamba ndiyo umemgharimu ama hii ni chai tu.
 
Lowasa aliwahi kusema vipaumbele vyake 3 ni moja Elimu pili Elimu na tatu Elimu, wengi hawakuelewa. Imagine mtu anaenda stendi,tena inayosifika kwa vibaka na 10mill Cash really?? Nchi nzima mpaka vijijini kuna wakala wa kutoa na kuweka pesa, mabenki kibai, lipa namba mpaka hata groceries, Bar,mpaka baadhi ya dada poa wanazo...

Kwahiyo haumjui huyu mtoa mada

Wasoma comments wanakuona wewe ndo unabidi kuilewa Sera ya Lowassa ya Elimu
 
Daah sijui kwanini vibaka wa stendi ya Magufuli wanapenda kunionea hivi yaani hii ni mara ya tatu kunifanyia hivi wakuu yaani pamoja na kuwa kwenye gari langu la IST na pamoja na kulock mlango wa gari bado nikaibiwa wakuu sijui hawa jamaa daaah!

Wakati namsindikiza wife alikuwa anaenda kwao kusalimia Singida na nikampandisha kwenye gari la ABC bwana nikaliacha gari langu pale nikampandisha wife nikarudi kwenye gari langu nikakuta mlango wa gari umefunguliwa na pesa zote milioni 10 zimechukuliwa, kompyuta mpakato imechukuliwa na vitambulisho vyangu vimechukuliwa daaah😭😭😭😭
Umeamua kuwanufaisha kuwanufaisha wadau wenye shida ya hela, yaani unatembea na cash kiasi hicho?
 
Huyu jamaa hata mimi nilitaka kuuliza mbona huu uzi wa mashtaka ya hv ushawahi postiwa miaka mingapi nyuma tena kopi and paste kbs,jamaa anafanya hv aidha adake mademu wakijua ana hela au kuwapiga watu😂😂👊
Kweli mkuu hii imekaa kibaharia zaidi.
 
Usijali mkuu, ndo sadaka zenyewe hizi umetoa. 😁
 
Kwahiyo haumjui huyu mtoa mada

Wasoma comments wanakuona wewe ndo unabidi kuilewa Sera ya Lowassa ya Elimu
Kwamba natakiwa kuwajua watoa comments wote humu ndani? Nitakuwa sina kazi za kufanya sasa...
 
Daah sijui kwanini vibaka wa stendi ya Magufuli wanapenda kunionea hivi yaani hii ni mara ya tatu kunifanyia hivi wakuu yaani pamoja na kuwa kwenye gari langu la IST na pamoja na kulock mlango wa gari bado nikaibiwa wakuu sijui hawa jamaa daaah!

Wakati namsindikiza wife alikuwa anaenda kwao kusalimia Singida na nikampandisha kwenye gari la ABC bwana nikaliacha gari langu pale nikampandisha wife nikarudi kwenye gari langu nikakuta mlango wa gari umefunguliwa na pesa zote milioni 10 zimechukuliwa, kompyuta mpakato imechukuliwa na vitambulisho vyangu vimechukuliwa daaah😭😭😭😭
Pole sanaa 💈 🎣
 
Back
Top Bottom