Tajiri wa matajiri
Senior Member
- Apr 17, 2024
- 166
- 649
PoleDaah sijui kwanini vibaka wa stendi ya magufuli wanapenda kunionea hivi yaani hii ni mara ya tatu kunifanyia hivi wakuu yaani pamoja na kuwa kwenye gari langu la IST na pamoja na kulock mlango wa gari bado nikaibiwa wakuu sijui hawa jamaa daaah!
Wakati namsindikiza wife alikuwa anaenda kwao kusalimia singida na nikampandisha kwenye gari la ABC bwana nikaliacha gari langu pale nikampandisha wife nikarudi kwenye gari langu nikakuta mlango wa gari umefunguliwa na pesa zote milioni 10 zimechukuliwa,kompyuta mpakato imechukuliwa na vitambulisho vyangu vimechukuliwa daaah😭😭😭😭
Usitembee na pesa nyingi kiasi hicho.Daah sijui kwanini vibaka wa stendi ya magufuli wanapenda kunionea hivi yaani hii ni mara ya tatu kunifanyia hivi wakuu yaani pamoja na kuwa kwenye gari langu...
Bank kwenyewe TRA wanakwapua,ni kuamua tu azichukue naniUnatembea na cash yote hiyo kwa ajili gani?
Uko wapi? 😀We ni liongoooooo hadi raha.....
Nakuombea kwa Imam wetu hela yako yote uliyoibiwa utaipata.Daah sijui kwanini vibaka wa stendi ya magufuli wanapenda kunionea hivi yaani hii ni mara ya tatu kunifanyia hivi wakuu yaani pamoja na kuwa kwenye gari langu la IST na pamoja na kulock mlango wa gari bado nikaibiwa wakuu sijui hawa jamaa daaah!