Nimeibiwa milioni 10 stendi ya mabasi ya Magufuli Mbezi

Badoo wakuchukue na wewe shukurusana
 
Unaitaji dawa ya ujanja piga 0754 201666
 
Kwa sisi wataalamu wa magari Million 10 ukiweka kwenye IST si ni kama umeweka kontena juu ya slice mbili za mkate.
 
Unaweza kukuta haya maisha tunayoishi siyo ya kweli, ni mungu anamsimulia adamu namna tutakavyo struggle akila tunda.
 
Ulipaki gali sehem gani??


Pale mbezi kuna camera boss ukifuatilia unaweza kumuona mti alieiba pesa
 
Tufanye hivi, chukua pesa zako mambo yasiwe mengi! Pole sana
 
Hii chai ingekuwa na masala powder ingekuwa tamu sana πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
 
Huyu jamaa hata gari Hana,mtu mweny uwezo wa kumiliki gari hawez akaibiwa kizembe hivyo!!!! Hapa tunasumbuka na mhuni tu kaamua achemshe vichwa watu
 
Unatembea na cash yote hiyo kwa ajili gani?
Lowasa aliwahi kusema vipaumbele vyake 3 ni moja Elimu pili Elimu na tatu Elimu, wengi hawakuelewa. Imagine mtu anaenda stendi,tena inayosifika kwa vibaka na 10mill Cash really?? Nchi nzima mpaka vijijini kuna wakala wa kutoa na kuweka pesa, mabenki kibai, lipa namba mpaka hata groceries, Bar,mpaka baadhi ya dada poa wanazo...
 
Pole sana ndugu, huyo aliyekuibia inawezekana alijua kuwa unabegi lenye fedha kwenye gari kabla hata haujaenda stendi.

Pale yanapaki magari mengi lakini bila shaka wameingia kwenye gari lako tu.

Weka tint kwenye vioo watu wasiweze kuchungulia ndani, lakini pia chunguza hatua zako ujue ni wapi hao wezi huwa wanagundua kuwa una hela kwenye gari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…