Nimeibiwa simu na mwizi ametoa pesa tiGO Pesa!

Nimeibiwa simu na mwizi ametoa pesa tiGO Pesa!

Mzembe mkubwa ni wewe.

Kwa nini hukuchukua hatua za haraka za kufunga hiyo line? Wewe ulimpa mwizi muda wa kutosha kukuibia.

Ukipoteza line ama kadi ya simu piga simu kwenye benki ama mtandao wako haraka wafunge hiyo line ama kadi uwe salama.

Hapa sio mwizi wala tigo wenye makosa.
Tigo wana makosa.

Wafute mianya ya mwizi kupata access ya namba ya siri.

Kuna mdau hapo katoa mbinu rahisi tu ya kudukua hiyo namba ya siri tena ukisaidiea kwa 100% na hoahao tigo.
 
Mzembe mkubwa ni wewe.

Kwa nini hukuchukua hatua za haraka za kufunga hiyo line? Wewe ulimpa mwizi muda wa kutosha kukuibia.

Ukipoteza line ama kadi ya simu piga simu kwenye benki ama mtandao wako haraka wafunge hiyo line ama kadi uwe salama.

Hapa sio mwizi wala tigo wenye makosa.
Nimegundua sina simu baada ya saa moja. Ninachouliza hapa ni mwizi amewezaje kutoa pesa????
 
Ni Rahisi sana mtu akiweza kupata NIDA yako.Tigo wana huduma ya Kuweka Upya PIN kwa kutumia NIDA namba ambayo maswali yake wakala wao wa usajili anaweza kujibu na kufyatua Password yako Fasta.Nashauri TIGO waondoe hiyo huduma
Kweli kabisaa na makosa makubwa tunayoyafanya ni kusevu nida zetu kwenye contacts, kwaiyo ni rahisi kabisaaa mtu anapita na pesa kama yake
 
Back
Top Bottom