Nimeibiwa simu na mwizi ametoa pesa tiGO Pesa!

Nimeibiwa simu na mwizi ametoa pesa tiGO Pesa!

Um
Nimeibiwa simu yenye line ya Tigo na nilipoenda kuchukua line mpya naangia salio la pesa nakuta hakuna kitu! Kwenye statement inaonekana mwizi ametoa pesa mara tatu. Hii inawezekana vipi mru hajui password yangu atoe pesa??
Umeibiwa mtaani au nyumbani
 
Kuna kipindi serikali ilizitaka kampuni za simu kuweka PIN kwenye laini ili kulinda wateja,mfano ukinunua laini mpya inakuwa tayari na PIN,unabadilisha unaweka ya kwako,hiyo inakusaidia pale unapoibiwa simu au laini,mtu akitaka kuweka hiyo laini yako kwenye simu nyingine au kama simu yako ikazima, inamlazimu kuweka PIN ya laini...hii inazuia mwizi au mtu asiyehusika kutumia laini yako kama ukiibiwa au kupoteza bahati mbaya.... Halotel wanayo huduma hii kwenye laini zao mpya,ila Tigo na Vodacom bado laini zao hazina hiyo option.
Pin kwenye lini zipo nikwamba wengi hatutaki kuweka ila zipo naukikosea tu maratatu line inajiblock ndomana tunaona ugumu kuweka hii
 
Kuna baadhi ya nchi ni Kosa kisheria kutokuweka Number za siri kwenye simu yako na Simcard..kabla ya kulaumu tigo,why laini yako haina PIN??usalama unaanza na wewe...tofauti na kuibiwa ipo siku laini yako itatumika vibaya.
Hata nchi yetu hiyo sheria wameweka. Mitandao kama TTCL na Voda wanajitahidi kuifuata lakini Tigo wao ndo ma-nunda.

Nilipotezaga ki simu na laini zote tatu. Kilichotokea nilirenew laini ya TigO bila shida yoyote kwa wakala tu. Laini ya voDa na TTcl ilinibidi kwenda kwenye 'shop' zao. Ya voda nikafanikiwa hapo lakini ya ttcl ikaongezeka kipengele cha kuwa hadi na loss report.

Wakati ule niliwamaindi kwa mtiririko wa ttcl then voda then wa mwisho hao tigo...... lakini kumbe kiusalama linaanza baba lao ttcl halafu voda then wa mwisho ndio hao tigo😅.
Huu ni ushuhuda binafsi.
 
Bora tigo mimi ukinipa lain ya eatel yoyote na usinipe nida wala pin yako ya eatel money kama unapesa humo naitoa safi kabisa bila kusumbuka na hata ukienda polis watakwambia umetoa mwenyewe kiufupi kampun zetu za simu haziko security sana kwa wajanja
 
Back
Top Bottom