Ngurukia
JF-Expert Member
- Feb 25, 2023
- 4,407
- 16,942
rudia kusoma nilichokiandika. Nimeanza na neno KAMA, kuashiria ni dhana.Hajasema alitoa taarifa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
rudia kusoma nilichokiandika. Nimeanza na neno KAMA, kuashiria ni dhana.Hajasema alitoa taarifa
Mzembe mkubwa ni wewe.
Kwa nini hukuchukua hatua za haraka za kufunga hiyo line? Wewe ulimpa mwizi muda wa kutosha kukuibia.
Ukipoteza line ama kadi ya simu piga simu kwenye benki ama mtandao wako haraka wafunge hiyo line ama kadi uwe salama.
Hapa sio mwizi wala tigo wenye makosa.
Mbona unapaniki? Mie nimeandika kuunga mkono post yako, huyo hakutoa taarifa ya kuibiwa ama aliitoa kwa kuchelewa mwizi akiwa kesha muibia.rudia kusoma nilichokiandika. Nimeanza na neno KAMA, kuashiria ni dhana.
Mkuu kubadilishwa namba ya Siri kama mtu anajua details zako za nida ni dk moja kwa tigo. Details zako za nida zinafaa kuwa siri. Ukipeteza sim kimbia haraka kuswap line on the sport. Technologies inakuwa uwizi wa mtandao unashika kasi sana huku siku hizi ni kwa kuweka pesa ya voçha na dharura tu ila sio pa kuhifadhi pesa tena usalama ni mdogo sana na hawana msaada kabisaNimegundua sina simu baada ya saa moja. Ninachouliza hapa ni mwizi amewezaje kutoa pesa????
Shukrani kwa mchango wako. Wacha nirudi kwenye traditional banking tu. Nimepata hasara but Tigo nust compensate . SIwezi kuwaacha hivihivi.Mkuu kubadilishwa namba ya Siri kama mtu anajua details zako za nida ni dk moja kwa tigo. Details zako za nida zinafaa kuwa siri. Ukipeteza sim kimbia haraka kuswap line on the sport. Technologies inakuwa uwizi wa mtandao unashika kasi sana huku siku hizi ni kwa kuweka pesa ya voçha na dharura tu ila sio pa kuhifadhi pesa tena usalama ni mdogo sana na hawana msaada kabisa
Tigo kampuni ya wahuni..Hata nchi yetu hiyo sheria wameweka. Mitandao kama TTCL na Voda wanajitahidi kuifuata lakini Tigo wao ndo ma-nunda.
Nilipotezaga ki simu na laini zote tatu. Kilichotokea nilirenew laini ya TigO bila shida yoyote kwa wakala tu. Laini ya voDa na TTcl ilinibidi kwenda kwenye 'shop' zao. Ya voda nikafanikiwa hapo lakini ya ttcl ikaongezeka kipengele cha kuwa hadi na loss report.
Wakati ule niliwamaindi kwa mtiririko wa ttcl then voda then wa mwisho hao tigo...... lakini kumbe kiusalama linaanza baba lao ttcl halafu voda then wa mwisho ndio hao tigo😅.
Huu ni ushuhuda binafsi.
Ukichukua line mpya kwenye kadi unakuta PIN na PUK.Kuna kipindi serikali ilizitaka kampuni za simu kuweka PIN kwenye laini ili kulinda wateja,mfano ukinunua laini mpya inakuwa tayari na PIN,unabadilisha unaweka ya kwako,hiyo inakusaidia pale unapoibiwa simu au laini,mtu akitaka kuweka hiyo laini yako kwenye simu nyingine au kama simu yako ikazima, inamlazimu kuweka PIN ya laini...hii inazuia mwizi au mtu asiyehusika kutumia laini yako kama ukiibiwa au kupoteza bahati mbaya.... Halotel wanayo huduma hii kwenye laini zao mpya,ila Tigo na Vodacom bado laini zao hazina hiyo option.
Unafanya setting kwenye simu yako,kwenye security and privacy..Asante, sijajua hii,naomba nieleweshe kwa tigo au Vodacom nawezaje kuweka hizo PIN
Bado itahitaji huyo mtu akujue vizuri maana kuna maswali hua yanaulizwa pale unless tigo wanakua involved 100% kwenye hiliNi Rahisi sana mtu akiweza kupata NIDA yako.Tigo wana huduma ya Kuweka Upya PIN kwa kutumia NIDA namba ambayo maswali yake wakala wao wa usajili anaweza kujibu na kufyatua Password yako Fasta.Nashauri TIGO waondoe hiyo huduma
Hilo lina msaada gani kama mwizi bado anaweza kupata passwords zako?Ukichukua line mpya kwenye kadi unakuta PIN na PUK.
Kisha utaset up PIN ya line yako.
Si unalijua hili?
Hapana mkuu. Password yangu haina uhusiano wowote wa mtu kukisiaWewe lazima password yako ni rahisi sana.
Ndio maana nikasema inawezekana wakala wa usajili wa line anaweza kuona hizo data maana ni part ya KYCBado itahitaji huyo mtu akujue vizuri maana kuna maswali hua yanaulizwa pale unless tigo wanakua involved 100% kwenye hili
Asante. Basi security ya hii mitandao ni very fragile. Natumia sana cyptocurencies ila mtu kufanya cracking ya pass phrase hata quantum computer inayofanya millions of calculations per second haiwezi.Huyo mwizi ana connection na watu wa kwenye mitandao na ndiyo wamempa pwd akatoa pesa...si rahisi hata ukiweka mwaka wa kuzaliwa mtu aguess mara tatu ikubali ,inayoweza kuguess pssword ni BOT tu linaweza likatuma request hata 1000 in few seconds.
Saa hii una hasira, pengine umechanganyikiwa pia.Hilo lina msaada gani kama mwizi bado anaweza kupata passwords zako?
Hapana mkuu. Password yangu haina uhusiano wowote wa mtu kukisia
Hasira ndiyo. Kuchanganyikiwa NO!Saa hii una hasira, pengine umechanganyikiwa pia.
Pumzika.
Asante. Basi security ya hii mitandao ni very fragile. Natumia sana cyptocurencies ila mtu kufanya cracking ya pass phrase hata quantum computer inayofanya millions of calculations per second haiwezi.