Nimeibiwa simu na mwizi ametoa pesa tiGO Pesa!

Tigo wana makosa.

Wafute mianya ya mwizi kupata access ya namba ya siri.

Kuna mdau hapo katoa mbinu rahisi tu ya kudukua hiyo namba ya siri tena ukisaidiea kwa 100% na hoahao tigo.
 
Nimegundua sina simu baada ya saa moja. Ninachouliza hapa ni mwizi amewezaje kutoa pesa????
 
Ni Rahisi sana mtu akiweza kupata NIDA yako.Tigo wana huduma ya Kuweka Upya PIN kwa kutumia NIDA namba ambayo maswali yake wakala wao wa usajili anaweza kujibu na kufyatua Password yako Fasta.Nashauri TIGO waondoe hiyo huduma
Kweli kabisaa na makosa makubwa tunayoyafanya ni kusevu nida zetu kwenye contacts, kwaiyo ni rahisi kabisaaa mtu anapita na pesa kama yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…