Nimeibiwa takribani laki 5 na Binti wa duka langu jipya ndani ya miezi miwili. Nichukue uamuzi gani?

Nimeibiwa takribani laki 5 na Binti wa duka langu jipya ndani ya miezi miwili. Nichukue uamuzi gani?

Vijana niwapumbavu sana ,nimemwambia wife kama hanielewi kuwa sikuenda kuchukua pesa dukani basi na mimi sielewi kama mdogo wake kaibiwa kichawi pesa dukani.ninapo lipa mimi hiyo laki 7 na nusu na yeye alipe hiyo hasara ya mdogo wake over.
Mkuu hapa umemshika sehemu nzuri. Kama ni mwilini, basi umemshika makalioni au katikati ya mapaja. Ukichunguza vizuri unaweza kukuta huyo shemeji alikuwa anashirikiana na WIFE kufilisi biashara. Mawives ni viumbe wa ajabu sana. Inawezekanaje aamini haraka uongo wa mdogo wake na kukushupalia kihivyo? Wanawake sio watu wa kushirikiana nao kibiashara.....labda mama tu!
 
nami nimeligundua hilo, ubaya wa kuwapa ma wife hizi biashara ni kwamba wakianza kuingiza wanafamilia au ndugu zao hesabia maumivu.
 
Mkuu hapa umemshika sehemu nzuri. Kama ni mwilini, basi umemshika makalioni au katikati ya mapaja. Ukichunguza vizuri unaweza kukuta huyo shemeji alikuwa anashirikiana na WIFE kufilisi biashara. Mawives ni viumbe wa ajabu sana. Inawezekanaje aamini haraka uongo wa mdogo wake na kukushupalia kihivyo? Wanawake sio watu wa kushirikiana nao kibiashara.....labda mama tu!
Kabisa mkuu,nimefunga duka siwezi kufanya biashara ya kipuuzi namna hiyo,mtu ateketeze mali harafu atoe kisingizio cha ajabu tu kuwa mimi nilienda nimelewa akanipa hela!!
Ulevi gani huo.ninapo lipa mimi hiyo hasara yangu na yeye alipe hiyo hasara ya chuma ulete ya mdogo wake na sitaki kumuona huyo ndugu yake katika mazingira yangu
 
Mkuu nikupe elimu tu kwamba, biashara ukimoa mkeo tumia akili kumziba asije kuweka wadogo zake ama kaka zake ama ndugu zake hasa wa kiume, hawa kumzidi akili ni rahisi sana na watamtumia kwa maslahi yao, hapo hio meseji usikute walimwambia kabisa maksudi wakiituma akuonyeshe.
 
Mkuu nikupe elimu tu kwamba, biashara ukimoa mkeo moige marufuku yeye kuja kuweka wadogo zake ama kaka zake ama ndugu zake hasa wa kiume, hawa kumzidi akili ni rahisi sana na watamtumia kwa maslahi yao, tena usipojiangalia watamshawishi ndoa ivunjike ili wapate hela za kuongeza mtaji, kuna kisa humu kiliwahi kuelezwa.
Hilo ndo nililo liona ,na kibaya zaidi nilisema aende polisi kwanza mke akaingilia ,nawewe uende polisi pia mana ulichukua pesa ya tuka bila utaratibu[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] kwa hiyo nimegawana hasara na dogo
 
Mkuu akikuliza tena unichukue mimi sina hata kazi, sitakuibia.
 
SASA wewe unafikiri ni adhabu gani nyingine inaweza mfaa zaidi ya hiyo Kwa mfano !?

Kesha kuchapa!....na wewe ni kumchapa nao! Maana uwezo wa kulipa hana! Zaidi ya kukupa hicho cha maungoni!

Kuchapa kuchapana tu.... Ndo kusemaaaa!? tunasema ngoma draw!
Halafu "kuchapa" unachukulia poa na kuona kama ni chanzo cha kuadhibu na kukomoa kumbe ni mfumo wa kustarehesha usiokuwa sawa sawa!

Hilo la kwanza, la pili ambalo haulielewi ni kwamba, mapenzi ni hisia na nyota.

Waweza kwenda kumfanya kwa kukamia kumkomoa lakini ukakuta mambo safi ukanogewa na nyota yako ikamezwa ukampenda na kuanza kulia kwenye kinena chake na kukufanya uhonge pakubwa kuzidi ulichoporwa!

Hivyo "kuchapa" hakuwezi kuleta suluhu la kufidia hasara zaidi ya kuongezea hasara.
 
Hilo ndo nililo liona ,na kibaya zaidi nilisema aende polisi kwanza mke akaingilia ,nawewe uende polisi pia mana ulichukua pesa ya tuka bila utaratibu[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] kwa hiyo nimegawana hasara na dogo
Weka mbali wanafamilia na ndugu wa mke kwenye mambo ya biashara, utaumiaaa!!

Heri uwasomeshe tu ama uwapeleke veta au uwafungulie biashara zao wafanye huko huko kwao, chonde chonde wasije ingia kwenye biashara yako, ya mke wako ama yenu.. ni kirusi kikali, wakianza kuzinusa pesa wataanza kumwambia dada yao eti hii hela tuitumie kujenga fensi nyumbani, wawawekee wazazi kingamuzi, n.k. hapo mke wako kushawishika dakika 0 tu, nae atakuwa muongo mzuri tu na atawakinga sana usiwadhuru.

Kiufupi ndio mwanzo wa kutafuta ugomvi na ndugu wa mke wako ukianza kuwaambia ukweli ni wezi, kaa chonjo sana mkuu.
 
Hiyo kazi wape Polisi, kisha kaa Subiri Pesa yako. Full stop.

Biashara haifai Watu wenye moyo wako.
Nenda pale Kariakoo Kwa wenye biashara kubwa wakupe mbinu. Huwezi kuwa mfanyabiashara mkubwa kama hujui namna ya kukabiliana na watu wanaochezea Pesa zako.

Ongea na Polisi ndio kazi zao hizo, wape pesa
 
mpeleke jela!
mpeleke polisi!

ni kauli zenu ambazo hamjawahi kuingia hayo mazingira, huko hakufai kabisa mkuu, endeleaga kusikia tu.

Notorious thug tia neno
 
Nimeumia sana na hiyo habari, hata mm nilipatwa na mkasa ofisini kwangu mm sio muajiriwa ni mjasiriamali nina ofice yangu hua namwacha mdogo wangu. Kuna siku akakutana na maharamia (Matapeli) walimtapeli zaid ya mil 1.Kwa kweli niliumia sana sikua na namna niksmuambia hakuna namna uendelee kubaki ofisini ila sitakua nakulipa mpaka nifidie hasara iliyotokea.
Alikubali lkn kesho yake akasema mm kaka kukaa ofisini siwezi bado najisikia uchungu sana kutokana na tukio lililonipata.Nimuambia ww unaongea hivyo je upande wangu unadhani najisikiaje? Lkn msimamo wake ulikua ni kurudi kijijini nikamwambia nenda nisikulazimishe ukae.Kwa kweli alinirudisha nyuma sana ikabidi niache mishe nyingine nibaki mwenyewe ofisini huku nikihangaika kutetea pesa iliyo potea.

Nimejifunza kitu biashara ili uifanye vzr ni bora uwe mwenyewe hasa ktk pesa na kama unamweka mtu basi usiwe mbali nae.
 
Na anaweza akaleta stock yake akawa anauza kimyakimya bila kukuibia huku biashara yako ikizidi kudorora
Hii ilishawahi kunikuta kwenye biashara ya Bar... Kama siyo ajenti wangu ninakochukulia mzigo kunistua kwamba kaunta wako ananunua mzigo kidogo kidogo mbali na ule ninaonunua kwa pamoja na kuweka store ningepigwa sanaa...
 
Halafu "kuchapa" unachukulia poa na kuona kama ni chanzo cha kuadhibu na kukomoa kumbe ni mfumo wa kustarehesha usiokuwa sawa sawa!

Hilo la kwanza, la pili ambalo haulielewi ni kwamba, mapenzi ni hisia na nyota.

Waweza kwenda kumfanya kwa kukamia kumkomoa lakini ukakuta mambo safi ukanogewa na nyota yako ikamezwa ukampenda na kuanza kulia kwenye kinena chake na kukufanya uhonge pakubwa kuzidi ulichoporwa!

Hivyo "kuchapa" hakuwezi kuleta suluhu la kufidia hasara zaidi ya kuongezea hasara.
Moja ya comment murua iliyoshiba kupata kuisoma Jf tangu huu mwaka uanze!....

Una thinking capacity inayojitosheleza wakwetu.

Nimekupa Maua yako!
 
Back
Top Bottom