Albinoomweusi
JF-Expert Member
- Oct 28, 2016
- 3,433
- 8,585
Mshahara Laki Moja Lazima atafute njia kuongeza kipato... muongeze mshahara
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu hapa umemshika sehemu nzuri. Kama ni mwilini, basi umemshika makalioni au katikati ya mapaja. Ukichunguza vizuri unaweza kukuta huyo shemeji alikuwa anashirikiana na WIFE kufilisi biashara. Mawives ni viumbe wa ajabu sana. Inawezekanaje aamini haraka uongo wa mdogo wake na kukushupalia kihivyo? Wanawake sio watu wa kushirikiana nao kibiashara.....labda mama tu!Vijana niwapumbavu sana ,nimemwambia wife kama hanielewi kuwa sikuenda kuchukua pesa dukani basi na mimi sielewi kama mdogo wake kaibiwa kichawi pesa dukani.ninapo lipa mimi hiyo laki 7 na nusu na yeye alipe hiyo hasara ya mdogo wake over.
nami nimeligundua hilo, ubaya wa kuwapa ma wife hizi biashara ni kwamba wakianza kuingiza wanafamilia au ndugu zao hesabia maumivu.Mkuu hapa umemshika sehemu nzuri. Kama ni mwilini, basi umemshika makalioni au katikati ya mapaja. Ukichunguza vizuri unaweza kukuta huyo shemeji alikuwa anashirikiana na WIFE kufilisi biashara. Mawives ni viumbe wa ajabu sana. Inawezekanaje aamini haraka uongo wa mdogo wake na kukushupalia kihivyo? Wanawake sio watu wa kushirikiana nao kibiashara.....labda mama tu!
Kabisa mkuu,nimefunga duka siwezi kufanya biashara ya kipuuzi namna hiyo,mtu ateketeze mali harafu atoe kisingizio cha ajabu tu kuwa mimi nilienda nimelewa akanipa hela!!Mkuu hapa umemshika sehemu nzuri. Kama ni mwilini, basi umemshika makalioni au katikati ya mapaja. Ukichunguza vizuri unaweza kukuta huyo shemeji alikuwa anashirikiana na WIFE kufilisi biashara. Mawives ni viumbe wa ajabu sana. Inawezekanaje aamini haraka uongo wa mdogo wake na kukushupalia kihivyo? Wanawake sio watu wa kushirikiana nao kibiashara.....labda mama tu!
Mkuu nikupe elimu tu kwamba, biashara ukimoa mkeo tumia akili kumziba asije kuweka wadogo zake ama kaka zake ama ndugu zake hasa wa kiume, hawa kumzidi akili ni rahisi sana na watamtumia kwa maslahi yao, hapo hio meseji usikute walimwambia kabisa maksudi wakiituma akuonyeshe.Kabisa mkuu,nimefunga duka siwezi kufanya biashara ya kipuuzi namna hiyo,mtu ateketeze mali harafu atoe kisingizio cha ajabu tu kuwa mimi nilienda nimelewa akanipa hela!!
Ulevi gani huo.ninapo lipa mimi hiyo hasara yangu na yeye alipe hiyo hasara ya chuma ulete ya mdogo wake na sitaki kumuona huyo ndugu yake katika mazingira yangu
Hilo ndo nililo liona ,na kibaya zaidi nilisema aende polisi kwanza mke akaingilia ,nawewe uende polisi pia mana ulichukua pesa ya tuka bila utaratibu[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] kwa hiyo nimegawana hasara na dogoMkuu nikupe elimu tu kwamba, biashara ukimoa mkeo moige marufuku yeye kuja kuweka wadogo zake ama kaka zake ama ndugu zake hasa wa kiume, hawa kumzidi akili ni rahisi sana na watamtumia kwa maslahi yao, tena usipojiangalia watamshawishi ndoa ivunjike ili wapate hela za kuongeza mtaji, kuna kisa humu kiliwahi kuelezwa.
Halafu "kuchapa" unachukulia poa na kuona kama ni chanzo cha kuadhibu na kukomoa kumbe ni mfumo wa kustarehesha usiokuwa sawa sawa!SASA wewe unafikiri ni adhabu gani nyingine inaweza mfaa zaidi ya hiyo Kwa mfano !?
Kesha kuchapa!....na wewe ni kumchapa nao! Maana uwezo wa kulipa hana! Zaidi ya kukupa hicho cha maungoni!
Kuchapa kuchapana tu.... Ndo kusemaaaa!? tunasema ngoma draw!
Weka mbali wanafamilia na ndugu wa mke kwenye mambo ya biashara, utaumiaaa!!Hilo ndo nililo liona ,na kibaya zaidi nilisema aende polisi kwanza mke akaingilia ,nawewe uende polisi pia mana ulichukua pesa ya tuka bila utaratibu[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] kwa hiyo nimegawana hasara na dogo
mpeleke jela!Hiyo kazi wape Polisi, kisha kaa Subiri Pesa yako. Full stop.
Biashara haifai Watu wenye moyo wako.
Nenda pale Kariakoo Kwa wenye biashara kubwa wakupe mbinu. Huwezi kuwa mfanyabiashara mkubwa kama hujui namna ya kukabiliana na watu wanaochezea Pesa zako.
Ongea na Polisi ndio kazi zao hizo, wape pesa
Hii ilishawahi kunikuta kwenye biashara ya Bar... Kama siyo ajenti wangu ninakochukulia mzigo kunistua kwamba kaunta wako ananunua mzigo kidogo kidogo mbali na ule ninaonunua kwa pamoja na kuweka store ningepigwa sanaa...Na anaweza akaleta stock yake akawa anauza kimyakimya bila kukuibia huku biashara yako ikizidi kudorora
Una bahati sana wengine siyo hivyoJamaa mi nna mke na namuamini anasimamia ujenzi Dar mi nipo Dodoma memwambia akipiga kajipiga mwenyewe.
Na ana biashara yake namsapoti inaenda poa tu 🙂🙂🙂😄😄
Moja ya comment murua iliyoshiba kupata kuisoma Jf tangu huu mwaka uanze!....Halafu "kuchapa" unachukulia poa na kuona kama ni chanzo cha kuadhibu na kukomoa kumbe ni mfumo wa kustarehesha usiokuwa sawa sawa!
Hilo la kwanza, la pili ambalo haulielewi ni kwamba, mapenzi ni hisia na nyota.
Waweza kwenda kumfanya kwa kukamia kumkomoa lakini ukakuta mambo safi ukanogewa na nyota yako ikamezwa ukampenda na kuanza kulia kwenye kinena chake na kukufanya uhonge pakubwa kuzidi ulichoporwa!
Hivyo "kuchapa" hakuwezi kuleta suluhu la kufidia hasara zaidi ya kuongezea hasara.
Duh, mrudishe kwao anajiibiaje mwenyewe 🤣🤣🤣Una bahati sana wengine siyo hivyo