kekule benzene
JF-Expert Member
- Sep 28, 2016
- 1,444
- 3,576
Hii ishu inategemea sana mazingira na vipaumbele vyakoIko tofauti kubwa tu kati ya Dar es salaam na mkoani. Siku sita nilizokaa mkoani zilithibitisha kuwa mikoani maisha yanakwenda kwa kasi ya 2-3G hii nimeiona Bukoba, Kigoma, Tabora na Dodoma
Kasi ya maisha Dar nadhani inakaribia au kupita 5G 😂
😂😂DA'SALAM
Kushindwa kwako kujikontroo usitulazimishe wote tuone Dar kubaya.Dar nilipaona pazuri sana.
Ila baada ya kuhamia huku mkoani aisee nimetokea kupachukia sana dar.
Dar unakuwa na hela ila matumizi mengi na ya ajabu.
Vurugu nyingi. Mfano mimi kulala dar ilikuwa nalala kila siku saa sita usiku naamka saa kumi na moja.
Huku mkoani, saa mbili tu wote tunaota ndoto nyevu.
Mtu akiniambia nirudi Dar nitampiga kofi mpaka azimie.
Urban to urban migration.Urban to rural migration
Aaah wapi, hili joto la siku kadhaa halijachagua. Kote kuna joto kali sana.Inategemea unaishi Dar ipi.
Kuanzia Kimara Mpaka kibamba hakuna joto
Banana, Gongo la mboto na Chanika
Upo vizuri Mkuu.Tafuta hela kijana, Ukiniambia mimi au GSM tuhame Dar tutakucheka sana hebu angalia
Nyumbani -AC
Gari- AC
Ofisini - AC
Demu wangu mzungu ( K ya baridi) Nakula AC
Sasa Dar niondoke ili iweje 🤔
Mwombe mchongo tu, jinsi ya kutoka uone!Upo vizuri Mkuu.
Kwamba ni Wale wa kuji-proud na hawana kitu😆Mwombe mchongo tu, jinsi ya kutoka uone!
Kambi ya mkitoDar nilipaona pazuri sana.
Ila baada ya kuhamia huku mkoani aisee nimetokea kupachukia sana dar.
Dar unakuwa na hela ila matumizi mengi na ya ajabu.
Vurugu nyingi. Mfano mimi kulala dar ilikuwa nalala kila siku saa sita usiku naamka saa kumi na moja.
Huku mkoani, saa mbili tu wote tunaota ndoto nyevu.
Mtu akiniambia nirudi Dar nitampiga kofi mpaka azimie.
Amen..!Nimeishi dar kwa miaka 25,natamani kurudi rural area au kijijini, lakini kwanza nitengeneze mazingira mazuri, nyumba nzuri, mabanda ya mifugo, ngombe mbuzi kuku, nipande mazao ya kudumu mf. Parachichi, miembe michungwa, nk, kijijini Pana mto, niuongeze upana kipande cha mita 50, halafu nizuie maji yasiweze kuondoka kwa kasi, niweke sangara, na Sato, niwatengenezee mazingira ambayo hayatahitaji kuwa lisha mara kwa mara!
Angalia usizubae akili isilale unalalaje saa mbili!?Dar nilipaona pazuri sana.
Ila baada ya kuhamia huku mkoani aisee nimetokea kupachukia sana dar.
Dar unakuwa na hela ila matumizi mengi na ya ajabu.
Vurugu nyingi. Mfano mimi kulala dar ilikuwa nalala kila siku saa sita usiku naamka saa kumi na moja.
Huku mkoani, saa mbili tu wote tunaota ndoto nyevu.
Mtu akiniambia nirudi Dar nitampiga kofi mpaka azimie.
Kinyume chake ni sahihi pia, walioko mikoani baada ya kuyazoea mazingira yasiyokuwa na vipaumbele vyao pendwa wakiisha yakubali na kuyakumbatia, hawatamani kurudi Dar tena.Hii ishu inategemea sana mazingira na vipaumbele vyako
Mtu akiwa na mazingira mazuri Dar hawezi kutamani kuishi mkoani
Dar kuna kona zimetulia acha kabiza, uwe umeweka mjengo wako na pesa ipo, sio unategemea usafiri wa umma.Dar ni overated sana!
Hakuna space Wala fresh air Hadi uende ufukweni napo harufu ya samaki TU na hewa ya joto sometimes!
Sikupapenda kabisa hata post sikujaza!!
As long as anafurahia kuwa mkoani ni vizuri japokua mkoani hamna kitambaa cheupe😀Urban to urban migration.
Huyu jamaa kashangaza yaan ana fanya URBAN TO RULAL MIGRATION..
Inabidi atupe factor zake?
Haaahaa 😊 Nina BANDA LA GEOGRAPHY O_LEVEL
HUWAGA NI problem facing rural to urban migration.
*Poor sawege system
*Congestion in social services
*Drugs abuse & theft
*Environmental pollusion
*
E.t.c
Yeah, Dar kwa kweli kwa maisha ya kuunga unga hapafai lakini kama una mchongo wako uko sawa ni pazuri sana! Wewe fikria kuku wa wiki 4 anagombaniwa huko mikoani hiyo fursa utaiona wapi?Dar nilipaona pazuri sana.