Nimeichukia sana Dar

Nimeichukia sana Dar

Iko tofauti kubwa tu kati ya Dar es salaam na mkoani. Siku sita nilizokaa mkoani zilithibitisha kuwa mikoani maisha yanakwenda kwa kasi ya 2-3G hii nimeiona Bukoba, Kigoma, Tabora na Dodoma
Kasi ya maisha Dar nadhani inakaribia au kupita 5G 😂
Hii ishu inategemea sana mazingira na vipaumbele vyako

Mtu akiwa na mazingira mazuri Dar hawezi kutamani kuishi mkoani
 
Dar nilipaona pazuri sana.

Ila baada ya kuhamia huku mkoani aisee nimetokea kupachukia sana dar.

Dar unakuwa na hela ila matumizi mengi na ya ajabu.

Vurugu nyingi. Mfano mimi kulala dar ilikuwa nalala kila siku saa sita usiku naamka saa kumi na moja.

Huku mkoani, saa mbili tu wote tunaota ndoto nyevu.

Mtu akiniambia nirudi Dar nitampiga kofi mpaka azimie.
Kushindwa kwako kujikontroo usitulazimishe wote tuone Dar kubaya.
 
Urban to rural migration
Urban to urban migration.

Huyu jamaa kashangaza yaan ana fanya URBAN TO RULAL MIGRATION..
Inabidi atupe factor zake?

Haaahaa 😊 Nina BANDA LA GEOGRAPHY O_LEVEL

HUWAGA NI problem facing rural to urban migration.
*Poor sawege system
*Congestion in social services
*Drugs abuse & theft
*Environmental pollusion
*
E.t.c
 
Tafuta hela kijana, Ukiniambia mimi au GSM tuhame Dar tutakucheka sana hebu angalia
Nyumbani -AC
Gari- AC
Ofisini - AC

Demu wangu mzungu ( K ya baridi) Nakula AC

Sasa Dar niondoke ili iweje 🤔
Upo vizuri Mkuu.
 
Nimeishi dar kwa miaka 25,natamani kurudi rural area au kijijini, lakini kwanza nitengeneze mazingira mazuri, nyumba nzuri, mabanda ya mifugo, ngombe mbuzi kuku, nipande mazao ya kudumu mf. Parachichi, miembe michungwa, nk, kijijini Pana mto, niuongeze upana kipande cha mita 50, halafu nizuie maji yasiweze kuondoka kwa kasi, niweke sangara, na Sato, niwatengenezee mazingira ambayo hayatahitaji kuwa lisha mara kwa mara!
 
Dar nilipaona pazuri sana.

Ila baada ya kuhamia huku mkoani aisee nimetokea kupachukia sana dar.

Dar unakuwa na hela ila matumizi mengi na ya ajabu.

Vurugu nyingi. Mfano mimi kulala dar ilikuwa nalala kila siku saa sita usiku naamka saa kumi na moja.

Huku mkoani, saa mbili tu wote tunaota ndoto nyevu.

Mtu akiniambia nirudi Dar nitampiga kofi mpaka azimie.
Kambi ya mkito
 
Amen..!
Hiyo ni sala, ndoto zako zikawe kweli.
 
Dar nilipaona pazuri sana.

Ila baada ya kuhamia huku mkoani aisee nimetokea kupachukia sana dar.

Dar unakuwa na hela ila matumizi mengi na ya ajabu.

Vurugu nyingi. Mfano mimi kulala dar ilikuwa nalala kila siku saa sita usiku naamka saa kumi na moja.

Huku mkoani, saa mbili tu wote tunaota ndoto nyevu.

Mtu akiniambia nirudi Dar nitampiga kofi mpaka azimie.
Angalia usizubae akili isilale unalalaje saa mbili!?
 
Dar ni nzuri tena sana ila Mimi kilichonikera ni foleni ya magari hasa wakati wa mvua Hadi unapandia kwenye dirisha la daladala, na joto hasa muda huu,wanakufa na joto.
 
Hii ishu inategemea sana mazingira na vipaumbele vyako

Mtu akiwa na mazingira mazuri Dar hawezi kutamani kuishi mkoani
Kinyume chake ni sahihi pia, walioko mikoani baada ya kuyazoea mazingira yasiyokuwa na vipaumbele vyao pendwa wakiisha yakubali na kuyakumbatia, hawatamani kurudi Dar tena.
Kuna miaka fulani niliishi mikoani, Dar pamoja na vivutio na fursa haikunivutia kivile, ilikuwa nikifika Dar nageuza baada ya siku 4 au sita.
 
Urban to urban migration.

Huyu jamaa kashangaza yaan ana fanya URBAN TO RULAL MIGRATION..
Inabidi atupe factor zake?

Haaahaa 😊 Nina BANDA LA GEOGRAPHY O_LEVEL

HUWAGA NI problem facing rural to urban migration.
*Poor sawege system
*Congestion in social services
*Drugs abuse & theft
*Environmental pollusion
*
E.t.c
As long as anafurahia kuwa mkoani ni vizuri japokua mkoani hamna kitambaa cheupe😀
 
Dar nilipaona pazuri sana.

Ila baada ya kuhamia huku mkoani aisee nimetokea kupachukia sana dar.

Dar unakuwa na hela ila matumizi mengi na ya ajabu.

Vurugu nyingi. Mfano mimi kulala dar ilikuwa nalala kila siku saa sita usiku naamka saa kumi na moja.

Huku mkoani, saa mbili tu wote tunaota ndoto nyevu.

Mtu akiniambia nirudi Dar nitampiga kofi mpaka azimie.
Yeah, Dar kwa kweli kwa maisha ya kuunga unga hapafai lakini kama una mchongo wako uko sawa ni pazuri sana! Wewe fikria kuku wa wiki 4 anagombaniwa huko mikoani hiyo fursa utaiona wapi?
 
Dar es salaam ni kuzuri na kubaya

Mkoani napo ni kuzuri na kubaya! Ila nikiwa mkoani nafurahia sana tofaut na dar,

Dar es salaam Ina heka heka so poa, ukiwaza usafiri, mvua km sasa Kuna dalili zote, jua Kali, kipindi kama Cha funga hivi tunaotegemea mama ntilie hawapiki, wizi, harufu za mitaro

Ila dar ukiwa na akili na ujanja ujanja unatoboa
 
Back
Top Bottom