kekule benzene
JF-Expert Member
- Sep 28, 2016
- 1,444
- 3,576
Hii ishu inategemea sana mazingira na vipaumbele vyakoIko tofauti kubwa tu kati ya Dar es salaam na mkoani. Siku sita nilizokaa mkoani zilithibitisha kuwa mikoani maisha yanakwenda kwa kasi ya 2-3G hii nimeiona Bukoba, Kigoma, Tabora na Dodoma
Kasi ya maisha Dar nadhani inakaribia au kupita 5G 😂
Mtu akiwa na mazingira mazuri Dar hawezi kutamani kuishi mkoani