johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hilo bumunda halielewi lipo kuropoka ropoka tu.Navyofahamu ile barabara ni msaada toka kwa watu wa japan over
Navyofahamu ile barabara ni msaada toka kwa watu wa Japan over
Nyinyi choo cha makao makuu ya CDM kimewashinda kujenga licha ya kupata zaidi ya bilioni tatu kila mwaka za ruzuku mngeweza kujenga barabara?Hata Hashim Rungwe asingeshindwa kukopa hela na kujenga barabara na bila shaka hata vijijini angejenga na pia kumaliza tatizo la maji.
Miaka ya 60 ya uhuru bado baadhi ya watanzania wana-share maji na mifugo huku matundu ya vyoo ya shule za watoto wetu ni kwa hisani ya mzungu.
Unajua kuwa mpaka sasa, kilometres za barabara za lami zilizojengwa awamu hii hazifiki hata 25% ya zile zilizojengwa awamu ya 4?Sasa wajapan si miaka yote wanatoa misaada,utekelezaji ndio ulikuwa changamoto sasa misaada inatolewa na utekelezaji unaonekana
Jpm[emoji1434]
Nasema uongo ndugu zangu?Hata Hashim Rungwe asingeshindwa kukopa hela na kujenga barabara na bila shaka hata vijijini angejenga na pia kumaliza tatizo la maji.
Miaka ya 60 ya uhuru bado baadhi ya watanzania wana-share maji na mifugo huku matundu ya vyoo ya shule za watoto wetu ni kwa hisani ya mzungu.
Sasa wajapan si miaka yote wanatoa misaada,utekelezaji ndio ulikuwa changamoto sasa misaada inatolewa na utekelezaji unaonekana
Jpm[emoji1434]
Kweli akili ni mali, hujui ile barabara inajengwa kila mala ili kumfurahisha mmiliki wa kebby's hotel? Fanya homework kidogoKupita kwenye barabara murua kama hizi ndio maendeleo ya watu yanapothibitika....
Toka huko migombani uje ulione jiji bwashee.Hilo bumunda halielewi lipo kuropoka ropoka tu.
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app