Kiongozi mkuu2020
JF-Expert Member
- Aug 8, 2020
- 1,748
- 998
Awamu yangu ya tano nawapenda saanaa, ila tuuu nimewakosoa kwa sehemu moja hasa ugawaji wa miradii ya maendeleo. Kunamkoa mumo uitwao KIGOMA, kwakweli naomba serikali yangu sikivu ya awamu yatanoo, wakumbukeni wanakigoma juuu ya barabaraa. Yaaani kama kipindi hiki cha masika barabara zao ni ngumu kupitikaa. Sasa elekezeeni nguvu za ujenzi wa miundombinu ya barabara mkoanii kigomaaa. Nimaombi yangu tuuu.
Mkuu karibu sana ujiunge na kwaya ya kanisani kwetu ya praise and worship maana uko vizuri sana sekta hiyo mkuu nakukaribisha sana