Nimeikubali barabara ya Mwenge - Morocco hakika ilani ya CCM kiboko, Lissu asingeweza haya!

Nimeikubali barabara ya Mwenge - Morocco hakika ilani ya CCM kiboko, Lissu asingeweza haya!

Woooi huko machame wazazi wanamaliza wenyewe hizo shida ndogo sana tofauti na kule kwenu Makete ambapo maendeleo mpaka mpige simu kwa polepole kujielezea.
Tajiri wa kwanza wa kichaga alimwibia fedha mkulima wa kikinga kutoka Makete pale barabara ya jangwani.

Wakinga hawajasahau hicho kisa ndio maana wanawarudisheni migombani kimtindo!
 
Kupita kwenye barabara murua kama hizi ndio maendeleo ya watu yanapothibitika.

Nimeona kipande cha Mwenge hadi Sayansi, taa murua kabisa zinafungwa itakuwa safi sana, hongera CCM.

Chadema uchaguzi umekwisha chapeni kazi sasa kutoka Mwenge hadi Ufipa street ni dakika 3 tu.

Maendeleo hayana vyama!
Mkeka?
 
Tajiri wa kwanza wa kichaga alimwibia fedha mkulima wa kikinga kutoka Makete pale barabara ya jangwani.

Wakinga hawajasahau hicho kisa ndio maana wanawarudisheni migombani kimtindo!
Sasa rudisha akili kichwani ukauze dukani kwa mume wa dada ako pale Miomboni maana Lumumba posho za buku 7 zimefutwa rasmi na bashiru.
 
Hata Hashim Rungwe asingeshindwa kukopa hela na kujenga barabara, na bila shaka hata vijijini angejenga na pia kumaliza tatizo la maji.

Miaka ya 60 ya uhuru bado baadhi ya Watanzania wana-share maji na mifugo huku matundu ya vyoo ya shule za watoto wetu ni kwa hisani ya mzungu.
Hamnaga jema nyinyi, chama kikuu upinzani miaka mingapi na hadi leo hamna jengo au ofisi ya kueleweka.
 
Wewe unayelalamkia billioni tatu kwa mwaka mnajua kuwa CHADEMA ikkusayta tzs 2500 tu kwa kilamember wake na wapendwa wake inapata zaidi ya trilkion mbili?
 
Nyinyi choo cha makao makuu ya CDM kimewashinda kujenga licha ya kupata zaidi ya bilioni tatu kila mwaka za ruzuku mngeweza kujenga barabara?
Kwahiyo nyinyi ndio maana ikawa muna zibiwa matundu ya choo na wazungu
 
Ww unajua nini kwani ni mwaka wa 60 huu mpaka leo bado muna tengeza bara bara na mashimo ya choo tena kwa pesa za wahisani ni siku gani mutakuja kuangalia kipato cha raiya na afya yao maana hakuna hata nchi moja sahivi duniani inayopitisha bajeti ya bara bara na madarasa ya shule ispokua nchi ya wizi tu Tanganyika
 
Mkuu, tupia tupicha picha basi na sisi tulioko huku kijijini Nkotokwiana tuone
 
Kupita kwenye barabara murua kama hizi ndio maendeleo ya watu yanapothibitika.

Nimeona kipande cha Mwenge hadi Sayansi, taa murua kabisa zinafungwa itakuwa safi sana, hongera CCM.

Chadema uchaguzi umekwisha chapeni kazi sasa kutoka Mwenge hadi Ufipa street ni dakika 3 tu.

Maendeleo hayana vyama!
John.

Ni msaada kutoka wananchi wa Japan. Sio fair kushukuru chama na kutoshukuru Japan government.

Wametoa fedha 100%.

Kama hujui, Flyover ya Tazara au Mfugale flyover Japan wametupa zawadi wakitoa fedha 100%.

Si sawa wala sio fair kushukuru chama.
 
Sasa wajapan si miaka yote wanatoa misaada, utekelezaji ndio ulikuwa changamoto sasa misaada inatolewa na utekelezaji unaonekana

Jpm[emoji1434]
Watekelezaji walikuwa CCM na ndiyo walionunua meli ya kisasa ya Dar kwenda Bagamoyo.
 
Back
Top Bottom