Nimeikubali barabara ya Mwenge - Morocco hakika ilani ya CCM kiboko, Lissu asingeweza haya!

Nimeikubali barabara ya Mwenge - Morocco hakika ilani ya CCM kiboko, Lissu asingeweza haya!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Kupita kwenye barabara murua kama hizi ndio maendeleo ya watu yanapothibitika.

Nimeona kipande cha Mwenge hadi Sayansi, taa murua kabisa zinafungwa itakuwa safi sana, hongera CCM.

Chadema uchaguzi umekwisha chapeni kazi sasa kutoka Mwenge hadi Ufipa street ni dakika 3 tu.

Maendeleo hayana vyama!
 
Hata Hashim Rungwe asingeshindwa kukopa hela na kujenga barabara, na bila shaka hata vijijini angejenga na pia kumaliza tatizo la maji.

Miaka ya 60 ya uhuru bado baadhi ya Watanzania wana-share maji na mifugo huku matundu ya vyoo ya shule za watoto wetu ni kwa hisani ya mzungu.
 
Hata Hashim Rungwe asingeshindwa kukopa hela na kujenga barabara na bila shaka hata vijijini angejenga na pia kumaliza tatizo la maji.

Miaka ya 60 ya uhuru bado baadhi ya watanzania wana-share maji na mifugo huku matundu ya vyoo ya shule za watoto wetu ni kwa hisani ya mzungu.
Nyinyi choo cha makao makuu ya CDM kimewashinda kujenga licha ya kupata zaidi ya bilioni tatu kila mwaka za ruzuku mngeweza kujenga barabara?
 
Sasa wajapan si miaka yote wanatoa misaada,utekelezaji ndio ulikuwa changamoto sasa misaada inatolewa na utekelezaji unaonekana

Jpm[emoji1434]
Unajua kuwa mpaka sasa, kilometres za barabara za lami zilizojengwa awamu hii hazifiki hata 25% ya zile zilizojengwa awamu ya 4?

Mnapiga kilele za ushabiki wa kinafiki wakati kila mmoja anajua kuwa awamu hii haijenge barabara ndefu 200km+, inajenga vipande vya barabara za mitaa tu!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata Hashim Rungwe asingeshindwa kukopa hela na kujenga barabara na bila shaka hata vijijini angejenga na pia kumaliza tatizo la maji.

Miaka ya 60 ya uhuru bado baadhi ya watanzania wana-share maji na mifugo huku matundu ya vyoo ya shule za watoto wetu ni kwa hisani ya mzungu.
Nasema uongo ndugu zangu?
20201124_182411.jpg
20201122_161633.jpg
 
Mkopo baba tunakopesheka .Hata mimi ukinipa mkopo wajekulipa wajukuu zangu ningechukua ili nijenge
 
Sasa wajapan si miaka yote wanatoa misaada,utekelezaji ndio ulikuwa changamoto sasa misaada inatolewa na utekelezaji unaonekana

Jpm[emoji1434]

Kwahiyo huo ndio mradi wa Kwanza kutekelezwa kwa pesa za. Wajapani?
 
Back
Top Bottom