Kiongozi mkuu2020
JF-Expert Member
- Aug 8, 2020
- 1,748
- 998
Mkuu karibu sana ujiunge na kwaya ya kanisani kwetu ya praise and worship maana uko vizuri sana sekta hiyo mkuu nakukaribisha sana
Tumekusikia mkuu....... Serikali ni sikivu!Awamu yangu ya tano nawapenda saanaa, ila tuuu nimewakosoa kwa sehemu moja hasa ugawaji wa miradii ya maendeleo. Kunamkoa mumo uitwao KIGOMA, kwakweli naomba serikali yangu sikivu ya awamu yatanoo, wakumbukeni wanakigoma juuu ya barabaraa. Yaaani kama kipindi hiki cha masika barabara zao ni ngumu kupitikaa. Sasa elekezeeni nguvu za ujenzi wa miundombinu ya barabara mkoanii kigomaaa. Nimaombi yangu tuuu.
Wanasema walilinunua.Hao wanatumia jengo la marehemu Bob Makani bure, ni aibu!
Wenzetu kwakweli wakumbukwee kwenye suala la barabara. Hakuna barabara hata moja ya rami inayounganisha mkoa huo na mikoa minginee. Inahuzunisha saaana kwa wenzetu wanakigoma, huwenda wanatamani na wao sasa waone ramii ya moja kwa moja na mikoa minginee. Niwaombe wanajamiii tuwakumbuke wanakigoma wetu waleee.Tumekusikia mkuu....... Serikali ni sikivu!
Kwani ile ya Nyakanazi hadi Ujiji haijakamilika?Wenzetu kwakweli wakumbukwee kwenye suala la barabara. Hakuna barabara hata moja ya rami inayounganisha mkoa huo na mikoa minginee. Inahuzunisha saaana kwa wenzetu wanakigoma, huwenda wanatamani na wao sasa waone ramii ya moja kwa moja na mikoa minginee. Niwaombe wanajamiii tuwakumbuke wanakigoma wetu waleee.
Miradi ya barabara kuunganisha Kigoma na Geita, Katavi na Tabora ipo kwenye hatua nzuri za ujenzi.Wenzetu kwakweli wakumbukwee kwenye suala la barabara. Hakuna barabara hata moja ya rami inayounganisha mkoa huo na mikoa minginee. Inahuzunisha saaana kwa wenzetu wanakigoma, huwenda wanatamani na wao sasa waone ramii ya moja kwa moja na mikoa minginee. Niwaombe wanajamiii tuwakumbuke wanakigoma wetu waleee.
Ujenzi unaendelea.Kwani ile ya Nyakanazi hadi Ujiji haijakamilika?
Mimi nimetoka uko juzi kati nikiwa nashuguli zanguu, bado kabisaa haijatoboa hadi kasulu. Ila maeneo ya kakonko kuelekea kibondo . ila kutoka hiyo kibondo hadi kasulu badoooKwani ile ya Nyakanazi hadi Ujiji haijakamilika?
Kama kweli serikali yetu imewakumbuka hivyo, basi naipongeza saanaa. Nasiku niikisikia mkoa huo umekamilika kwa kuunganishwa na mikoa mingine kwa kiwango cha ramiii, japokuwa mimi siomkazi wakigoma, nitaadhimia kwenda hadi ikulu kumpa zawadi nono mheshimiwa wetu huyu na jemadariii mkuu raisi wetu JPM.Miradi ya barabara kuunganisha Kigoma na Geita, Katavi na Tabora ipo kwenye hatua nzuri za ujenzi.
Zitto Kabwe ndio alikuwa anachelewesha maendeleo ya Kigoma!Kama kweli serikali yetu imewakumbuka hivyo, basi naipongeza saanaa. Nasiku niikisikia mkoa huo umekamilika kwa kuunganishwa na mikoa mingine kwa kiwango cha ramiii, japokuwa mimi siomkazi wakigoma, nitaadhimia kwenda hadi ikulu kumpa zawadi nono mheshimiwa wetu huyu na jemadariii mkuu raisi wetu JPM.
Tuanzie hapo kwanza...mtaalamu wa kiswahili! Nadhani sasa unadhamira ya kubeba mikoba ya Faiza Foxy . Umefanya uwamuzi wa hekima.Hivi neno ela ni Kiswahili sanifu?
Barabarani inajengwa na kampuni ya kiJapan inaitwa NIPPO-Dai NIPON JV, na kampuni ya Kitanzania inaitwa MAC.Kupita kwenye barabara murua kama hizi ndio maendeleo ya watu yanapothibitika...
Ukiona Mtu anaandika HataHata Hashim Rungwe asingeshindwa kukopa hela na kujenga barabara, na bila shaka hata vijijini angejenga na pia kumaliza tatizo la maji.
Miaka ya 60 ya uhuru bado baadhi ya Watanzania wana-share maji na mifugo huku matundu ya vyoo ya shule za watoto wetu ni kwa hisani ya mzungu.
Kamanda mkuu tindo soma hiyoooKupita kwenye barabara murua kama hizi ndio maendeleo ya watu yanapothibitika...
Ndiyo ukweli wenyewe.johnthebaptist nakuheshimu sana ila uache kudanganya umma kwamba CCM na ilani yake inajenga barabara hii. Hii barabara inajengwa kwa msaada wa WATU WA JAPAN, KUPITIA SHIRIKA LAO LA JICA
Hivi unadhani Wajapan wameota tu usingizini kuwa wakatoe ela za kujenga barabara ya Mwenge Tanzania na baada ya kutoka usingizini wakakurupuka kurupu...!kwenda benki na kuchota ela na kuzileta nchini kutekeleza ndoto yao? Tajiri Kichwa 'unaniangusha ujue'!
Hapo machame wanafunzi wangapi wameachishwa masomo bwashee?Wale wanafunzi waliofaulu lakini wamekatishwa kuendelea na masomo kwa uhaba wa madarasa watakuja kwenye hizo barabara zenye taa na kufanya kazi za machinga.
"Irani iko vema kweri-kweri"
Woooi huko machame wazazi wanamaliza wenyewe hizo shida ndogo sana tofauti na kule kwenu Makete ambapo maendeleo mpaka mpige simu kwa polepole kujielezea.Hapo machame wanafunzi wangapi wameachishwa masomo bwashee?