johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
-
- #61
Tajiri wa kwanza wa kichaga alimwibia fedha mkulima wa kikinga kutoka Makete pale barabara ya jangwani.Woooi huko machame wazazi wanamaliza wenyewe hizo shida ndogo sana tofauti na kule kwenu Makete ambapo maendeleo mpaka mpige simu kwa polepole kujielezea.
Maendeleo hayana vyama!Nisome nini kaka?
Kuna kitu tumewahi fanyiwa wa tz tukaridhika?Mkopo baba tunakopesheka .Hata mimi ukinipa mkopo wajekulipa wajukuu zangu ningechukua ili nijenge
Mkeka?Kupita kwenye barabara murua kama hizi ndio maendeleo ya watu yanapothibitika.
Nimeona kipande cha Mwenge hadi Sayansi, taa murua kabisa zinafungwa itakuwa safi sana, hongera CCM.
Chadema uchaguzi umekwisha chapeni kazi sasa kutoka Mwenge hadi Ufipa street ni dakika 3 tu.
Maendeleo hayana vyama!
Sasa rudisha akili kichwani ukauze dukani kwa mume wa dada ako pale Miomboni maana Lumumba posho za buku 7 zimefutwa rasmi na bashiru.Tajiri wa kwanza wa kichaga alimwibia fedha mkulima wa kikinga kutoka Makete pale barabara ya jangwani.
Wakinga hawajasahau hicho kisa ndio maana wanawarudisheni migombani kimtindo!
Nacheka sina mbavu,hutaki kusoma?Nisome nini kaka?
Hivi Kabla ya Magufuli hakukuwa na Barabara za Lami?Sasa wajapan si miaka yote wanatoa misaada, utekelezaji ndio ulikuwa changamoto sasa misaada inatolewa na utekelezaji unaonekana
Jpm[emoji1434]
Nacheka sina mbavu,hutaki kusoma?
Hujui?Nisome nini? Maana nimesoma post nyingi kwenye huu uzi, what so special?
Sijui nini?Hujui?
Hamnaga jema nyinyi, chama kikuu upinzani miaka mingapi na hadi leo hamna jengo au ofisi ya kueleweka.Hata Hashim Rungwe asingeshindwa kukopa hela na kujenga barabara, na bila shaka hata vijijini angejenga na pia kumaliza tatizo la maji.
Miaka ya 60 ya uhuru bado baadhi ya Watanzania wana-share maji na mifugo huku matundu ya vyoo ya shule za watoto wetu ni kwa hisani ya mzungu.
Na wewe wakupe huo msaada wajapani ujenge nyumbani kwenu na Ofisi yenu pale ufipa kinondoniNavyofahamu ile barabara ni msaada toka kwa watu wa Japan over.
Hatujawahi ridhika kwa kweliKuna kitu tumewahi fanyiwa wa tz tukaridhika?
Kwahiyo nyinyi ndio maana ikawa muna zibiwa matundu ya choo na wazunguNyinyi choo cha makao makuu ya CDM kimewashinda kujenga licha ya kupata zaidi ya bilioni tatu kila mwaka za ruzuku mngeweza kujenga barabara?
John.Kupita kwenye barabara murua kama hizi ndio maendeleo ya watu yanapothibitika.
Nimeona kipande cha Mwenge hadi Sayansi, taa murua kabisa zinafungwa itakuwa safi sana, hongera CCM.
Chadema uchaguzi umekwisha chapeni kazi sasa kutoka Mwenge hadi Ufipa street ni dakika 3 tu.
Maendeleo hayana vyama!
Watekelezaji walikuwa CCM na ndiyo walionunua meli ya kisasa ya Dar kwenda Bagamoyo.Sasa wajapan si miaka yote wanatoa misaada, utekelezaji ndio ulikuwa changamoto sasa misaada inatolewa na utekelezaji unaonekana
Jpm[emoji1434]