Nimeikumbuka JamiiForums ya zamani

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hapana kaka mimi huwa nakukubali sana ila basi tu ubishi mwingine ni wa kuchangamsha mada so don't take it personal[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
One love mtu wangu usiwaze......

Ilaaaa🤣🤣🤣🤣🤣
 

Nafurahi kuwa kwenye list yako Edelyn .
This means a lot to me![emoji8][emoji8][emoji8]
 
Sitaki kujua kwamba imetokea tuu nikawa wakwanza kwenye hiyo list.

Lakini napenda kusema nimefurahi sana jina langu kuwa la kwanza kukujia kwenye akili yaani na ninajidaijee[emoji23][emoji23][emoji23]. Kwangu ina maana kubwa kwamba miaka 5 yote tuliyojuana , haujawahi kujuta kunijua.

Kama vile nakuona unavyokuja kunikatisha tamaa[emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]
 
Huyo anayekufuatia ndo shemelaa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hapana mimi ni mgeni sema tu nimekuja kwa kasi ya 5G zamani nilikuwaga mpenzi mtazamaji ila mwaka huu na mimi nikaanza kuwa mpenzi mtangazaji[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Hahaha mie nimekuwa mpenzi msomaji na mpinzani wako wa jadi. Ila nafurahia uwepo wako pia napenda tuendelee kujamiiana kama kauli mbiu kuu ya humu.
 
[emoji3526][emoji3526][emoji3526][emoji3526]
 
[emoji8] [emoji8] [emoji8] ..Mi hata sikumbuki niliingiaje Jf..Nilijikuta tu ni Member[emoji2]....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…