kufanakupona
JF-Expert Member
- Jun 18, 2015
- 522
- 421
Hanaga threads za kijinga kama baadhi ya members wanaokuzwa kwenye huu uzi, jamaa ni very talented, genius and humbled.NI moja ya member wangu bora wa muda wote ..
Kuna kaka mmoja naogopa kumtaja, huwa unakiri anakukosha sana, hivi alikufanyaje yule jamaa?[emoji23]Yeah daaaah!! Halafu wameadimika sana ausee.
Ha ha ha yaani kuna kizazi kitakuja kusema muziki ulikuwa zamani bwana,enzi za kina rayvany,Ally kiba,harmonize,rich mavoko etc? Haiwezekani asee!Hiyo tabia ya kusifia vitu vya zaman tumevizoea mana utasikia mtu anasema mziki ulikua zaman enzi za kina marijan rajabu, sekinde,na msondo. Kwaiyo watu wa sasa msikate tamaa hata nyinyi mkiwa wakongwe mtawaambia majunior maneno hayo hayo
JF ya zamani niliifurahia sana jamanii..
Kuna member walinivutia mnoo miaka ya 2011
Masai dada
Badieby na yule mwarabu wake memsahau..
Eiyer
Asprin
Lara 1 huyu dada alijua kuwakomesha wanaume wa jf jamani
Mentor
Miss Chagga
Wengine wamenitoka kidogoo!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna kaka mmoja naogopa kumtaja, huwa unakiri anakukosha sana, hivi alikufanyaje yule jamaa?[emoji23]
[emoji3531][emoji3531][emoji3531][emoji3531][emoji3531]Namna tunavyojamiiana tu ndio nimependezwa nayo.[emoji23][emoji23][emoji23]
BTW, I appreciate your inputs too.
Nakunyima vitenge.Unataka kuninyima nini eti
[emoji23][emoji108]Wapi hawa watu :
OLESAIDIMU
miss chagga
MUSA ALLAN
farkhina
Namna tunavyojamiiana tu ndio nimependezwa nayo.[emoji23][emoji23][emoji23]
BTW, I appreciate your inputs too.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nakunyima vitenge.
[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji3531][emoji3531][emoji3531][emoji3531][emoji3531]
Auntie njoo unywe uji.[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]daah ila mimi sijui shida ni nini labda ujana tu ndo unanisumbua nikizeeka nitaacha by the way mimi ni mgeni kwenye umember ila kwenye uguest ni mkongwe zamani nilikuwaga msomaji tu ila siku hizi nimekuwa mchangiaji kabisaWewe ni mgeni ila mwandiko wako umezeeka[emoji23]. Huwa unanikumbusha enzi hizo Heaven Sent akiwa active, alikuwa akiandika newspapers zenye kilo mia.