Nimeikumbuka JamiiForums ya zamani

Nimeikumbuka JamiiForums ya zamani

Hiyo tabia ya kusifia vitu vya zaman tumevizoea mana utasikia mtu anasema mziki ulikua zaman enzi za kina marijan rajabu, sekinde,na msondo. Kwaiyo watu wa sasa msikate tamaa hata nyinyi mkiwa wakongwe mtawaambia majunior maneno hayo hayo
Ha ha ha yaani kuna kizazi kitakuja kusema muziki ulikuwa zamani bwana,enzi za kina rayvany,Ally kiba,harmonize,rich mavoko etc? Haiwezekani asee!
 
Yaan kuna muda waga nahisi lara 1 ndio yule dada wa instagram anaejiita the orignaleast uandikaji wake na kila kitu
JF ya zamani niliifurahia sana jamanii..
Kuna member walinivutia mnoo miaka ya 2011
Masai dada
Badieby na yule mwarabu wake memsahau..
Eiyer
Asprin
Lara 1 huyu dada alijua kuwakomesha wanaume wa jf jamani
Mentor
Miss Chagga
Wengine wamenitoka kidogoo!
 
My gratitude kwa hawa wakuu,

Mwl RCT
The LIST
The Bold
Ontario
SHIMBA YA BUYENZE

Elimu ya kutag imenipita kushoto, Mkuu yeyote naomba anisaidie kuwatag hawa Wakuu..
 
Wewe ni mgeni ila mwandiko wako umezeeka[emoji23]. Huwa unanikumbusha enzi hizo Heaven Sent akiwa active, alikuwa akiandika newspapers zenye kilo mia.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]daah ila mimi sijui shida ni nini labda ujana tu ndo unanisumbua nikizeeka nitaacha by the way mimi ni mgeni kwenye umember ila kwenye uguest ni mkongwe zamani nilikuwaga msomaji tu ila siku hizi nimekuwa mchangiaji kabisa
 
Back
Top Bottom