Nimeingia kwenye mahusiano na mwanamke mwenye mimba

Burn the bridge _Tz

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2021
Posts
2,319
Reaction score
6,878
This is very interesting for me
Nimejikuta kwenye deep love na bint mwenye ujauzito wa miezi minne.

Ila anasema mwenye mimba amekataa kwasababu alikuwa anataka mwanamke aitoe..so kwakuwa mwanamke amekataa kuitoa basi hataki mimba.

Wakuu nataka kujitolea kukilea hiki kiumbe, kinawezekana kuwa na baraka kwangu....

Karibuni kwa ushauri
1000132431.jpg
 
Kuna uzi aliuwekaga member SISIS UNA MAMBO KAMA YAKO SEMA JAMAA ALIUWEKA AKASEMA ALIVYOGUNDUA TU BINTI ANA MIMBA AKAKIMBIA

KUWA MAKINI WANAWAKE WA SASA SIO KAMA WA ZAMANI HAPO ANAKUFURAHISHA TU KUWA JAMAA KAIKATAA ILA HADI KUMBEBEA HIYO MIMBA ALIKUWA ANAMPENDA NA BADO ANAMPENDA KWAKO KAJA KIMKAKATI HAO WATARUDIANA MWANAMKE KWENYE MIMBA NA MTOTO KUWA NAE MAKINI UTAKUJA KULIA
 
This is very interesting for me
Nimejikuta kwenye deep love na bint mwenye ujauzito wa miezi minne.

Ila anasema mwenye mimba amekataa kwasababu alikuwa anataka mwanamke aitoe..so kwakuwa mwanamke amekataa kuitoa basi hataki mimba.

Wakuu nataka kujitolea kukilea hiki kiumbe, kinawezekana kuwa na baraka kwangu....

Karibuni kwa ushauri View attachment 3386580
"Another man down again" duh!!!! Wanaume tutabaki wachache duh.
 
Kuna uzi aliuwekaga member SISIS UNA MAMBO KAMA YAKO SEMA JAMAA ALIUWEKA AKASEMA ALIVYOGUNDUA TU BINTI ANA MIMBA AKAKIMBIA

KUWA MAKINI WANAWAKE WA SASA SIO KAMA WA ZAMANI HAPO ANAKUFURAHISHA TU KUWA JAMAA KAIKATAA ILA HADI KUMBEBEA HIYO MIMBA ALIKUWA ANAMPENDA NA BADO ANAMPENDA KWAKO KAJA KIMKAKATI HAO WATARUDIANA MWANAMKE KWENYE MIMBA NA MTOTO KUWA NAE MAKINI UTAKUJA KULIA
Nashukuru sana
 
Wenza
This is very interesting for me
Nimejikuta kwenye deep love na bint mwenye ujauzito wa miezi minne.

Ila anasema mwenye mimba amekataa kwasababu alikuwa anataka mwanamke aitoe..so kwakuwa mwanamke amekataa kuitoa basi hataki mimba.

Wakuu nataka kujitolea kukilea hiki kiumbe, kinawezekana kuwa na baraka kwangu....

Karibuni kwa ushauri View attachment 3386580
Wenzako wanaitafuta bahati kama hiyo. Huyo mwanamke mshikirie vizuri atakuletea baraka na madeal kibao hapo baadae.
 
Umenikumbusha zamani nilikua naona kakazetu wakuoa, baada ya harusi anapewa mdogo wa bibi harusi akamsaidie kazi kwenye ndoa...😂
Hingera sana kwa bahati mkuu....😊
 
You're f*king getting cooked mf, Unalea alfu baadae uachwe mb*a wewe. Take it or spill it. Kumbe bado kuna Wanaume wapuuzi namna hii. Mwanamke aliyemimba ni kama myu aliye na njaa.. Chochote atakubali ila akishiba utaona kila rangi.
Ushauri wangu: Msaidie tu kama kusaidia na sio kuweka hisia zako hapo na wala kuwekeza.
 
Back
Top Bottom