Mr Pixel3a
JF-Expert Member
- Sep 15, 2021
- 7,107
- 10,609
Ufal
Sauti ya mwanamke ikisikika inasema run run runRun, Run, Run murime
Umerogwa siyo kawaidaThis is very interesting for me
Nimejikuta kwenye deep love na bint mwenye ujauzito wa miezi minne.
Ila anasema mwenye mimba amekataa kwasababu alikuwa anataka mwanamke aitoe..so kwakuwa mwanamke amekataa kuitoa basi hataki mimba.
Wakuu nataka kujitolea kukilea hiki kiumbe, kinawezekana kuwa na baraka kwangu....
Karibuni kwa ushauri View attachment 3386580
Tena hata angeambiwa mimba ni yake bado asingesanuka pia, kuna watu wakipenda,milango yao yote ya ufahamu nayo inapenda badala ya kuchanganua mambo!!Yaan tena binti kaweka wazi kabisaa, ni vile huyu OP hajui kuchanganya na zake, Lol
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sawa endelea,lkn muoe kisheria kulingana na imani yako.This is very interesting for me
Nimejikuta kwenye deep love na bint mwenye ujauzito wa miezi minne.
Ila anasema mwenye mimba amekataa kwasababu alikuwa anataka mwanamke aitoe..so kwakuwa mwanamke amekataa kuitoa basi hataki mimba.
Wakuu nataka kujitolea kukilea hiki kiumbe, kinawezekana kuwa na baraka kwangu....
Karibuni kwa ushauri View attachment 3386580
Umewaambia wazazi wako hizi habari?This is very interesting for me
Nimejikuta kwenye deep love na bint mwenye ujauzito wa miezi minne.
Ila anasema mwenye mimba amekataa kwasababu alikuwa anataka mwanamke aitoe..so kwakuwa mwanamke amekataa kuitoa basi hataki mimba.
Wakuu nataka kujitolea kukilea hiki kiumbe, kinawezekana kuwa na baraka kwangu....
Karibuni kwa ushauri View attachment 3386580
Unavutwa ujaeThis is very interesting for me
Nimejikuta kwenye deep love na bint mwenye ujauzito wa miezi minne.
Ila anasema mwenye mimba amekataa kwasababu alikuwa anataka mwanamke aitoe..so kwakuwa mwanamke amekataa kuitoa basi hataki mimba.
Wakuu nataka kujitolea kukilea hiki kiumbe, kinawezekana kuwa na baraka kwangu....
Karibuni kwa ushauri View attachment 3386580
Uchawi upo aseee!!
Mkuu jipe muda kwanza na usali sana...labda sio akili yako
Msaidie with no interest wanawake wa hivyo huwa ni wapumbavu na hawana akili .This is very interesting for me
Nimejikuta kwenye deep love na bint mwenye ujauzito wa miezi minne.
Ila anasema mwenye mimba amekataa kwasababu alikuwa anataka mwanamke aitoe..so kwakuwa mwanamke amekataa kuitoa basi hataki mimba.
Wakuu nataka kujitolea kukilea hiki kiumbe, kinawezekana kuwa na baraka kwangu....
Karibuni kwa ushauri View attachment 3386580
Umechanganywa na kale ka joto kale!!Wenye vibendi ni wa moto !This is very interesting for me
Nimejikuta kwenye deep love na bint mwenye ujauzito wa miezi minne.
Ila anasema mwenye mimba amekataa kwasababu alikuwa anataka mwanamke aitoe..so kwakuwa mwanamke amekataa kuitoa basi hataki mimba.
Wakuu nataka kujitolea kukilea hiki kiumbe, kinawezekana kuwa na baraka kwangu....
Karibuni kwa ushauri View attachment 3386580
Vijana Wana evolve kutokana na nature mkuu!!Aisee, mambo yamebadilika, Lea tu kama sadaka, baba mwenye mimba yupo🤣
Vijana bhana,huwa mnarogwa??