Burn the bridge _Tz
JF-Expert Member
- Apr 15, 2021
- 2,319
- 6,878
- Thread starter
- #21
Umesema ataleta baraka kwa maana ipi?Wapi ambapo haujaelewa ?
Umesema ataleta baraka kwa maana ipi?Wapi ambapo haujaelewa ?
Ushauri mzuriYou're f*king getting cooked mf, Unalea alfu baadae uachwe mb*a wewe. Take it or spill it. Kumbe bado kuna Wanaume wapuuzi namna hii. Mwanamke aliyemimba ni kama myu aliye na njaa.. Chochote atakubali ila akishiba utaona kila rangi.
Ushauri wangu: Msaidie tu kama kusaidia na sio kuweka hisia zako hapo na wala kuwekeza.
KWa upendo utakaouonesha kwaoUmesema ataleta baraka kwa maana ipi?
Mimi nakushauri kama umeamua kumsaidia msaidie kwa sababu umeamua kama ubinadamu, usimsaidie kwa sababu ya mapenzi na ukasema eti sijui mtoto unampa ubin wako.This is very interesting for me
Nimejikuta kwenye deep love na bint mwenye ujauzito wa miezi minne.
Ila anasema mwenye mimba amekataa kwasababu alikuwa anataka mwanamke aitoe..so kwakuwa mwanamke amekataa kuitoa basi hataki mimba.
Wakuu nataka kujitolea kukilea hiki kiumbe, kinawezekana kuwa na baraka kwangu....
Karibuni kwa ushauri View attachment 3386580
Ahsante sanaMimi nakushauri kama umeamua kumsaidia msaidie kwa sababu umeamua kama ubinadamu, usimsaidie kwa sababu ya mapenzi na ukasema eti sijui mtoto unampa ubin wako.
Huyo mtoto akishazaliwa ndani ya miaka miwili baba yake atarudi na wewe utaanza unafichaa mwisho utaambiwa ukweli. Wanawake wengi wanapenda watoto wawajue baba zao wa kweli hata kama umejitoa kiasi gani mwisho baba yake atamtambua na wewe utabaki unaumia.
Tenda huo wema ukiwa unajua matokeo yake.
Nijibu haya machache kabla sijacommentThis is very interesting for me
Nimejikuta kwenye deep love na bint mwenye ujauzito wa miezi minne.
Ila anasema mwenye mimba amekataa kwasababu alikuwa anataka mwanamke aitoe..so kwakuwa mwanamke amekataa kuitoa basi hataki mimba.
Wakuu nataka kujitolea kukilea hiki kiumbe, kinawezekana kuwa na baraka kwangu....
Karibuni kwa ushauri View attachment 3386580
Huyo hatoki hapo mazee hata mpige na nyundo hatoki kabisaa tupo hapa..Mkuu, achana nae uyo.
This is very interesting for me
Nimejikuta kwenye deep love na bint mwenye ujauzito wa miezi minne.
Ila anasema mwenye mimba amekataa kwasababu alikuwa anataka mwanamke aitoe..so kwakuwa mwanamke amekataa kuitoa basi hataki mimba.
Wakuu nataka kujitolea kukilea hiki kiumbe, kinawezekana kuwa na baraka kwangu....
Karibuni kwa ushauri View attachment 3386580
Jamii forum Ina watu wa muhimu sana em ona ushauri mzuri kama huuUkiingia huko tambua kwamba sheria ya DNA inamtambua biological father .
Na inampq haki ya kuishi na mtoto wake .
Kuna kesi nyingintu biological fathers wanaibuka baadae na sheria hiyo ya DNA inamlinda na kumtambua yeye.
Hivyo mkuu nakushauri kuhusu hiyo mimba na mategemeo ya hiko kiumbe.
Nenda katafute sheria zifuatazo:-
1 .Human DNA Regulation act 2009 Tanzania
2. The Lwa Of the Child Act 2009 Tanzania.
Zosome vizuri hizo sheria utaelimika sana na naamini zitakusaidia kufanya maamuzi usipende kuchukulia mambo kienyeji enyeji mengine yapo kisheria .
Manake inaweza kuwa amekuriki mimba uilee akizaliwa mtoto inakuwaje?
Mtoto akizaliwa,ndipo utajua baba mtoto hataki.By that time utakuwa umeshawekeza pa kutosha kwa mama na mtoto.Utaumia sana jamaa yangu.Unachotakiwa kufanya Sasa hivi ni kufikiri kwa kutumia kichwa cha juu,na sio cha chini.Safi kabisa.
Ila baba mwenye mimba hataki mtoto na amekataa
Huu ni ujinga uliopitiliza, damu ni nzito kuliko maji,,,,hata akimpa jina lako huyo mtoto, kama baba yake ni kibaka na anatoka kwenye ukoo usioeleweka usitegemee huyo mtoto akawa na tabia kama yako. Wanawake wanajichanganya sana, utashangaa mtu umezaa watoto 3 na mwanamke, mmoja kati yao au hata wote wakawa vibaka kumbe mkeo alikusaliti na kuzaa na jambazi aliyekuwa anamla kabla ya kuolewa na wewe. Never take women seriously, wanaume pimeni DNA watoto wenu, mtanishukuru baadaye.This is very interesting for me