Burn the bridge _Tz
JF-Expert Member
- Apr 15, 2021
- 2,319
- 6,878
"Another man down again" duh!!!! Wanaume tutabaki wachache duh.This is very interesting for me
Nimejikuta kwenye deep love na bint mwenye ujauzito wa miezi minne.
Ila anasema mwenye mimba amekataa kwasababu alikuwa anataka mwanamke aitoe..so kwakuwa mwanamke amekataa kuitoa basi hataki mimba.
Wakuu nataka kujitolea kukilea hiki kiumbe, kinawezekana kuwa na baraka kwangu....
Karibuni kwa ushauri View attachment 3386580
Safi kabisa.Usiingie kingi. Unakuwaje Baba Bora na aliyempa mimba yupo.....
Safiiii nashukuruHuo ni udhaifu namba 1 Kwa wanaume wapumbavu
Mwanaume rijali halei mimba wala mtoto wa mwanaume mwingine
Nashukuru sanaKuna uzi aliuwekaga member SISIS UNA MAMBO KAMA YAKO SEMA JAMAA ALIUWEKA AKASEMA ALIVYOGUNDUA TU BINTI ANA MIMBA AKAKIMBIA
KUWA MAKINI WANAWAKE WA SASA SIO KAMA WA ZAMANI HAPO ANAKUFURAHISHA TU KUWA JAMAA KAIKATAA ILA HADI KUMBEBEA HIYO MIMBA ALIKUWA ANAMPENDA NA BADO ANAMPENDA KWAKO KAJA KIMKAKATI HAO WATARUDIANA MWANAMKE KWENYE MIMBA NA MTOTO KUWA NAE MAKINI UTAKUJA KULIA
Unadanganywa pumbavu....damu haipoteiSafi kabisa.
Ila baba mwenye mimba hataki mtoto na amekataa
Wenzako wanaitafuta bahati kama hiyo. Huyo mwanamke mshikirie vizuri atakuletea baraka na madeal kibao hapo baadae.This is very interesting for me
Nimejikuta kwenye deep love na bint mwenye ujauzito wa miezi minne.
Ila anasema mwenye mimba amekataa kwasababu alikuwa anataka mwanamke aitoe..so kwakuwa mwanamke amekataa kuitoa basi hataki mimba.
Wakuu nataka kujitolea kukilea hiki kiumbe, kinawezekana kuwa na baraka kwangu....
Karibuni kwa ushauri View attachment 3386580
Huyu dogo mpumbavu sanaaa mkuu.Unadanganywa pumbavu....damu haipotei
Mmmh una maana Gani bossWenza
Wenzako wanaitafuta bahati kama hiyo. Huyo mwanamke mshikirie vizuri atakuletea baraka na madeal kibao hapo baadae.
Ahsante kwa ushauriUnadanganywa pumbavu....damu haipotei
Wapi ambapo haujaelewa ?Mmmh una maana Gani boss