Nimeingia kwenye mahusiano na mwanamke mwenye mimba

Ushauri mzuri
 
Yaani una invest tu kwa Biashara kumbe na Bonus nayo ishaiva - hongera saana ndugu hizo ni za wachachee.
 
Mimi nakushauri kama umeamua kumsaidia msaidie kwa sababu umeamua kama ubinadamu, usimsaidie kwa sababu ya mapenzi na ukasema eti sijui mtoto unampa ubin wako.
Huyo mtoto akishazaliwa ndani ya miaka miwili baba yake atarudi na wewe utaanza unafichaa mwisho utaambiwa ukweli. Wanawake wengi wanapenda watoto wawajue baba zao wa kweli hata kama umejitoa kiasi gani mwisho baba yake atamtambua na wewe utabaki unaumia.
Tenda huo wema ukiwa unajua matokeo yake.
 
Ahsante sana
 
Nijibu haya machache kabla sijacomment
1. Una umri gani?
2.Una Elimu gani?
3.Mara ya mwisho kuhudhuria vikao vya wanaume ni lini?
 
Ukiingia huko tambua kwamba sheria ya DNA inamtambua biological father .
Na inampq haki ya kuishi na mtoto wake .
Kuna kesi nyingintu biological fathers wanaibuka baadae na sheria hiyo ya DNA inamlinda na kumtambua yeye.
Hivyo mkuu nakushauri kuhusu hiyo mimba na mategemeo ya hiko kiumbe.
Nenda katafute sheria zifuatazo:-
1 .Human DNA Regulation act 2009 Tanzania
2. The Lwa Of the Child Act 2009 Tanzania.
Zosome vizuri hizo sheria utaelimika sana na naamini zitakusaidia kufanya maamuzi usipende kuchukulia mambo kienyeji enyeji mengine yapo kisheria .
Manake inaweza kuwa amekuriki mimba uilee akizaliwa mtoto inakuwaje?
 

Uchawi upo aseee!!

Mkuu jipe muda kwanza na usali sana...labda sio akili yako
 
Jamii forum Ina watu wa muhimu sana em ona ushauri mzuri kama huu
 
Safi kabisa.
Ila baba mwenye mimba hataki mtoto na amekataa
Mtoto akizaliwa,ndipo utajua baba mtoto hataki.By that time utakuwa umeshawekeza pa kutosha kwa mama na mtoto.Utaumia sana jamaa yangu.Unachotakiwa kufanya Sasa hivi ni kufikiri kwa kutumia kichwa cha juu,na sio cha chini.
 
Huu ni ujinga uliopitiliza, damu ni nzito kuliko maji,,,,hata akimpa jina lako huyo mtoto, kama baba yake ni kibaka na anatoka kwenye ukoo usioeleweka usitegemee huyo mtoto akawa na tabia kama yako. Wanawake wanajichanganya sana, utashangaa mtu umezaa watoto 3 na mwanamke, mmoja kati yao au hata wote wakawa vibaka kumbe mkeo alikusaliti na kuzaa na jambazi aliyekuwa anamla kabla ya kuolewa na wewe. Never take women seriously, wanaume pimeni DNA watoto wenu, mtanishukuru baadaye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…