Nimeingia kwenye mahusiano na mwanamke mwenye mimba

Kama una pesa kama bakressa sio kesi ila kama pesa zako ni vimilioni vya kuungaunga wewe utakuwa mbwiga

Cha pili huyo mwanake kukutaka kukupa bao alilokojoa mwanaume mwingine tena kwa kujikakamua atakuwa kakuona shoga au hanithi au vyote kwa pamoja
 
Kwanini anamsaidie kwani NGO'S na vituo vya yatima kazi yake nini?
 
Kwanini anamsaidie kwani NGO'S na vituo vya yatima kazi yake nini?
Hata hivyo vituo bado pesa zinatoka kwa binadamu hivyo wanaotoa ni binadamu kama yeye anavyoweza kuamua amsaidie mtu directly
 
Nilichogundua mwanamke kama anakupenda hata umfanyie kibaya kipi ataendelea kukupenda tu na ukimtaka yupo fasta tu kurudi
 
Kuna mwanake alishawahi kuniambia kama nikiwa tayari kuhudumia yeye na matoto yake mawili atatulia na mimi nilimshangaa sana nikaona kama kaniona mimi mlafi wa uchi au mshamba wa mapenzi
 
Kwani hayo mahaba yenu yameanza lini ,,,mpaka umekuja kujua ni mjamzito
 
Hata hivyo vituo bado pesa zinatoka kwa binadamu hivyo wanaotoa ni binadamu kama yeye anavyoweza kuamua amsaidie mtu directly
Ndo akapate huko kuliko kumlaghai mtu kwa ngono maana hapo mapenzi hakuna na kamwona jamaa bwege sana
 
Unakichaa au umelaaniwa au umechanganyikiwa kabisa
 
wee Jichanganye Usiseme hatujakwamvia!

Binti mshenzi huyo!

Maskini kiumbe kilichopo tumboni dahh!


Cc Smart911
 
Ukishalielewa hilo neno "sio kwamba amekataliwa ila natamani kumpatia baba bora" basi hapo utajua nini ufanye.

Kaa uitafakari hiyo msg ili usije kulia na kusaga meno baadae huku ukimuangishia mdada wa watu lawama.
 
Kwa uandishi huo wa sms tu Indonesha kuna safar hapo
 
Ukishalielewa hilo neno "sio kwamba amekataliwa ila natamani kumpatia baba bora" basi hapo utajua nini ufanye.

Kaa uitafakari hiyo msg ili usije kulia na kusaga meno baadae huku ukimuangishia mdada wa watu lawama.
Yaan tena binti kaweka wazi kabisaa, ni vile huyu OP hajui kuchanganya na zake, Lol
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…