Nimeingia kwenye mahusiano na mwanamke mwenye mimba

Umerogwa siyo kawaida
Subiri utalia na kusaga me o
 
Wanaume wanapenda Presha, Msongo wa Mawazo na depression za kujitakia.
Mwanamke kakuzidi akili mara 200, IPO siku utajuta majuto ya mjukuu wa Osama bin laden
 
Stori kama hizi huwa mtu anaamua kuzileta makusudi humu jukwaani kama dhihaka, kejeli na dharau kwa watu wa jukwaa hili....unakuta mtu amekaa sehemu yupo bored anatunga cha uongo na kweli ili tu kushughulisha akili za watu..... wakati mnasumbua akili kutoa ushauri yeye anatabasamu......
 
Yaan tena binti kaweka wazi kabisaa, ni vile huyu OP hajui kuchanganya na zake, Lol
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tena hata angeambiwa mimba ni yake bado asingesanuka pia, kuna watu wakipenda,milango yao yote ya ufahamu nayo inapenda badala ya kuchanganua mambo!!
 
Sawa endelea,lkn muoe kisheria kulingana na imani yako.
 
Umewaambia wazazi wako hizi habari?
 
Unavutwa ujae
 
Au, naona kijana aliyemua kutumia hisia, badala ya ufahamu anaenda kutunza mimba ya mtu na kukimbiwa mtoto akizaliwa
 
Msaidie with no interest wanawake wa hivyo huwa ni wapumbavu na hawana akili .

She is broke and she is looking the one who gonna be a provider and responsible for her pregnancy

Be smart msaidie Kama ambavyo unaweza kusaidia watoto yatima n.k but sio kwa ajili ya sex.

Hilo neno baba bora analiongea kwakuwa amekuona wewe ni MTU mjinga na weak
 
Umechanganywa na kale ka joto kale!!Wenye vibendi ni wa moto !
 
Aisee, mambo yamebadilika, Lea tu kama sadaka, baba mwenye mimba yupo🤣

Vijana bhana,huwa mnarogwa??
Vijana Wana evolve kutokana na nature mkuu!!

Katika zama ambazo wanawake hawatupi uhakika wa kusema mazuri ya baba na kutaja mabaya pekee labda kwa kufanya hivyo mama anaweza kufikiria kutaja mazuri ya Baba wa kambo!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…