Nimeingia kwenye mahusiano na mwanamke wa rafiki yangu pasipo kujua

Nimeingia kwenye mahusiano na mwanamke wa rafiki yangu pasipo kujua

Utakuwa umeshaliwa vya kutosha. Hadi umejua mabaharia wakoje? Anywaay, hongera kwa kutokubakiza bikra hata moja
Mwanaume huwezi kukaa kumwadithia mwenzio hivo ndo maana yangu,yaani alivyosema mbona kama huyu msichana namjua ungesema ni kama dada yangu alafu ujikaushe

Sent from my HUAWEI MLA-AL10 using JamiiForums mobile app
 
kivipi sasa wakati huyo mshikaji wake analia kabisa,😀
Ampe Moyo, wakubaliane kuwa hafai, ila waendelee kumtafuna...wanaume hawatofautiani kwa ajili ya demu aliyeyataka mwenyewe.
 
Waarabu wanapenda sana mabinti wa Wakinyaturu na Wakirangi, kama mjuavyo, sasa hivi Waarabu wa DP World na wengine wengi wengi wanashuka kila siku Dar es Salaam, muwahi kuoana na hao mabinti wa Kinyaturu msije kusema hamkuambiwa, maana Waarabu hawataki mchezo wanaoa tu, tena kwa mahari ya kufa mtu.

DP World Hoyeee.
 
Aisee..
 
Sawa bwana FaizaFoxy
 
Utaskia Baby tujiRecord... tukimaliza tunaifuta...
TTupo wawili ndani ya nini Mafuta...
 
Jamaa nae akajiamini Sana.

Siku hizi Kuna VAULTs Kibao. Za kuficha ishu zako sensitive kule play store.

Hizi simu wanashika watu wengi sana.

Unampa afanye jambo lake fasta anakimbilia kwenye gallery [emoji1][emoji1787]

Sasa wale Wana download porn mtaaibika hivi hivi.

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] atar sana yani
 
Au ule upumbavu upo busy na simu yako halafu jitu linakuja kuinamisha shingo kama kuku kaona mwewe kuchungulia unafanyaje..

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] inshort haya mambo ya kuingilian kwenye cm yanaboa sana
 
Nyie wote watatu mmeyakanyaga😂

Ila wewe muachie kijana wa watu demu wake katafute mwingine.
 
Kwamba usijekuingiza vocal la blues kumbe ni amapiano nimecheka kama fala

Anywayz huyo bidada had anasema ndugu zake wasijue sio kwamba lengo lake lilikuwa wasijue kama ana mahusiano bali wakijua we ndo uko nae wakat wanajua anatoka na rafk yako wataanza mengne but kama kwel unampenda as u've said make sure unafanya kitu kama hauko tayar kumuacha achana na urafk kati ya vitu sithamin ni urafki nisjue kwa upande wako mfanye tu mpenzi wako ndo awe rafiki shemeji analiwa tatizo lako wenge tu

ila kama huna malengo nae yoyote muachie tu mwana aendeleze moto ila nae kama hana malengo nae bas endeleen kupga kila mtu avutie upande wake atakaeshinda ndo huyo sijakushauri kwa ubaya maana kuna kuweka na akili zako baada ya ushauri
 
Kk hujui calculator.....anyway mwachie muhuni ainjoi msivunje urafiki kwa ajili ya mwanamke
 
Back
Top Bottom