Nimeingia kwenye mahusiano na mwanamke wa rafiki yangu pasipo kujua

Nimeingia kwenye mahusiano na mwanamke wa rafiki yangu pasipo kujua

mtu unampa simu anakagua gallery yako[emoji23][emoji23][emoji23] au unamwonyesha picha moja anaaza kuscroll na nyingine[emoji20][emoji20]

wenye izo tabia muache sio nzuri
Jamaa nae akajiamini Sana.

Siku hizi Kuna VAULTs Kibao. Za kuficha ishu zako sensitive kule play store.

Hizi simu wanashika watu wengi sana.

Unampa afanye jambo lake fasta anakimbilia kwenye gallery [emoji1][emoji1787]

Sasa wale Wana download porn mtaaibika hivi hivi.

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
 
Wote endeleeni kukaa humohumo ila kimyakimya, badilisheni malengo mliyokua nayo juu yake ila msimiache wala kumwambia.
Kumwambia hizo ni habari za kusutana na za kike. Nendeni naye hivyo huku akiamini hamjui kitu, yaani awe demu wenu wote
Kaaaahh...[emoji1]
 
Huyu jamaa akiambiwa na mkewe siwezi kupumua bila ya wewe itakuwa wazi hamaanishi kwa tafsida ya kimapenzi itakuwa anamaanisha kimantiki kabisa.

Hii njemba ingekuwepo kwenye submarine iliyibutuka wangekufa mapema kabisa maana kwa pua hiyo hakika pumzi yake moja ni kama za pumzi za watu watano kwa pamoja.
 
Tulia mkuu. Unaanza kumchukia wakati Wazazi wake walifurahi kuzaa
 
Kila mtu ale kwa wakati wake.
Mwambie jamaa umemuachia huku we endelea kula gizani huyo ni demu na Sio mke wa mtu Hana hati miliki tafuneni nyote
 
[emoji23][emoji23]kwahiyo mnapagawa na kupangwa hivyo ....ila si mbaya huyo mke wenu ukute kuna mwenzenu msiyemjua yupo kwa foleni pia
 
Wanyaturu ni warembo Lakini katu Usiwaamini.
Kama kawachanganya wawili Na Nyinyi Mchanganyeni asijue kama Mnajua Muwe Mnamchakata Tu mpaka inatoa Moshi Mpaka Ajue Kuwa Hajui
 
Kila mmoja anywe maziwa kwa wakati wake,mniunge na Mimi kwenye list
Waswahili Husema Mapenzi Ni kama Swimming pool
Ukiwa Unaogelea Usitake Kujua Ni nani aliogelea Kabla yako,Ni nani unaogelea Nae Na nani ataogelea Baada yako we Hakikisha tu wakati unaogelea Unaenjoy
 
Waswahili Husema Mapenzi Ni kama Swimming pool
Ukiwa Unaogelea Usitake Kujua Ni nani aliogelea Kabla yako,Ni nani unaogelea Nae Na nani ataogelea Baada yako we Hakikisha tu wakati unaogelea Unaenjoy
Mapenzi ni sawa na siti ya daladala usiinuse ukitaka kuikalia
 
[emoji23][emoji23]kwahiyo mnapagawa na kupangwa hivyo ....ila si mbaya huyo mke wenu ukute kuna mwenzenu msiyemjua yupo kwa foleni pia
Vipi vya kawaida mbona ata sie wanaume tunawapanga wanawake. Tit for tat
 
Back
Top Bottom