scolastika
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 3,863
- 5,719
Mwanaume huwezi kukaa kumwadithia mwenzio hivo ndo maana yangu,yaani alivyosema mbona kama huyu msichana namjua ungesema ni kama dada yangu alafu ujikausheUtakuwa umeshaliwa vya kutosha. Hadi umejua mabaharia wakoje? Anywaay, hongera kwa kutokubakiza bikra hata moja
SawaMwanaume huwezi kukaa kumwadithia mwenzio hivo ndo maana yangu,yaani alivyosema mbona kama huyu msichana namjua ungesema ni kama dada yangu alafu ujikaushe
Sent from my HUAWEI MLA-AL10 using JamiiForums mobile app
Ampe Moyo, wakubaliane kuwa hafai, ila waendelee kumtafuna...wanaume hawatofautiani kwa ajili ya demu aliyeyataka mwenyewe.kivipi sasa wakati huyo mshikaji wake analia kabisa,😀
jamaa inaonekana sio legend kwenye hii game, yupo kwenye entry levelAmpe Moyo, wakubaliane kuwa hafai, ila waendelee kumtafuna...wanaume hawatofautiani kwa ajili ya demu aliyeyataka mwenyewe.
Aisee..Waarabu wanapenda sana mabinti wa Wakinyaturu na Wakirangi, kama mjuavyo, sasa hivi Waarabu wa DP World na wengine wengi wengi wanashuka kila siku Dar es Salaam, muwahi kuoana na hao mabinti wa Kinyaturu msije kusema hamkuambiwa, maana Waarabu hawataki mchezo wanaoa tu, tena kwa mahari ya kufa mtu.
DP World Hoyeee.
Sawa bwana FaizaFoxyWaarabu wanapenda sana mabinti wa Wakinyaturu na Wakirangi, kama mjuavyo, sasa hivi Waarabu wa DP World na wengine wengi wengi wanashuka kila siku Dar es Salaam, muwahi kuoana na hao mabinti wa Kinyaturu msije kusema hamkuambiwa, maana Waarabu hawataki mchezo wanaoa tu, tena kwa mahari ya kufa mtu.
DP World Hoyeee.
Jamaa nae akajiamini Sana.
Siku hizi Kuna VAULTs Kibao. Za kuficha ishu zako sensitive kule play store.
Hizi simu wanashika watu wengi sana.
Unampa afanye jambo lake fasta anakimbilia kwenye gallery [emoji1][emoji1787]
Sasa wale Wana download porn mtaaibika hivi hivi.
Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
Hii tabia huwa inakera sana kiukweli
Aisee..Utaskia Baby tujiRecord... tukimaliza tunaifuta...
TTupo wawili ndani ya nini Mafuta...
Au ule upumbavu upo busy na simu yako halafu jitu linakuja kuinamisha shingo kama kuku kaona mwewe kuchungulia unafanyaje..sana yani unakosa amani na cm yako mwenyew
Au ule upumbavu upo busy na simu yako halafu jitu linakuja kuinamisha shingo kama kuku kaona mwewe kuchungulia unafanyaje..
Ili na wewe uanze kumwaga michozi 🤣Tupia picha tuone