Nimeingiza faida ya 1,092,600 baada ya siku 90 za biashara yangu

Hongera sana kwa uthubutu nakushauri utafute kabati la kiooo weka body spray perfume za Bei rahisi, deodorant make up na other vipodozi ukipata Mpesa Airtel money na Tigo pesa utaona raha ya biashara.

Nafanya hii biashara though sio mkubwa kivileee nani ndo kama nimeanza.
 
Hiyo Biashara ya chupi ningefanya mimi ningewatafuna sana hawa wadada maana kwakweli sinaga uvumilivu kuangaliana na vifuniko vya papuchi
 
Hiyo Biashara ya chupi ningefanya mimi ningewatafuna sana hawa wadada maana kwakweli sinaga uvumilivu kuangaliana na vifuniko vya papuchi
Unakwama wapi kuanza kuifanya ujitafunie wadada hao
 
Hiyo Biashara ya chupi ningefanya mimi ningewatafuna sana hawa wadada maana kwakweli sinaga uvumilivu kuangaliana na vifuniko vya papuchi
Avatar yako hii Ni sawa na mawazo yako kabisa hahaaa​
 
Asante sana Mkuu now mambo ni motoo M-pesa ipo spray zipo hereni zipo nywele nk
 
Hiyo Biashara ya chupi ningefanya mimi ningewatafuna sana hawa wadada maana kwakweli sinaga uvumilivu kuangaliana na vifuniko vya papuchi
Pole mkuu 😀
 
Hiyo faida umeikokotoa vipi?

Je manunuzi yako yalikuwa kiasi gani?

Umeuza kiasi gani?

Gharama nyinginezo umeingia kiasi gani?

Je umeajiri mtu au watu wa kufanya hiyo kazi au unaifanya wewe mwenyewe?

Kwa kuanzia naomba jibu hayo kwanza kisha tutaendelea kidogo.
 
Kwa biashara anayofanya mtoa thread...hii comments ikiiifanýia atafika mbali sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…