Nimeipenda hii toka kwa mtu anajiita Mishy, ngoja nikumegee na uitafakari

Nimeipenda hii toka kwa mtu anajiita Mishy, ngoja nikumegee na uitafakari

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,815
Reaction score
103,955
C&P

The Curse Of Intelligence Is Isolation.
When You Are Intelligent There's Always A High Chance That You Are Alone.
Fools Attract Crowds.
Stupid People Love Stupid Ideas That Glorify Theirs Ignorance.
That's Why Most Intelligent People Are Controversial and Hated

(NOTE: nimeipanga hivyo mimi, mwenyenayo aliunganisha sentensi zote)

Tuna watu wanaangukia katika makundi hato Tanzania? ( Wapo, nitataja baadaye)
 
Kwani huoni wanaopost ujinga so humu jf ,TikTok sijui, twitter na Instagram wakuwaga na likes nyingi hata comments coz wengi wanapenda ujinga ujinga ndo utakuwa na wafuasi wengi ...Mambo ya udaku ,matusi lazima tu uwapate.

Mara nyingi intelligent anajiamini na hapendi appreciation yeyote ili kukubali mawazo yake kila mda anajiona yupo sawa ndo maana hanaga time za kumingle na watu .
 
Laana Ya Akili nyingi (maarifa) Ni Kutengwa.

Unapokuwa na Akili Daima Kuna Nafasi Kubwa Kuwa Uko Peke Yako.(Kutengwa).

Wajinga Huvutia Umati.

Watu Wajinga Wanapenda Mawazo Ya Kijinga Yanayotukuza Ujinga Wao.

Ndio Maana Wenye Akili Wengi Huwa Watata na Wanachukiwa
 
nakubaliana na hoja kwa asilimia nyingi lakini kiujumla kuwa peke yako / kujitenga sio ishara kuu ya intelligence.

mimi binafsi ni highly antsocial person lakini sioni maajabu yoyote ya intelligence ndani yangu, nipo nipo tu kama mzimu.

labda kabla ya kusema intelligents people wanakuwa peke yao au wanatengwa kwanza tungejiuliza hiyo intelligent ni nini na unaweza kuitambua vipi kwenye mazingira yanayo tuzunguka
 
C&P

The Curse Of Intelligence Is Isolation.
When You Are Intelligent There's Always A High Chance That You Are Alone.
Fools Attract Crowds.
Stupid People Love Stupid Ideas That Glorify Theirs Ignorance.
That's Why Most Intelligent People Are Controversial and Hated

(NOTE: nimeipanga hivyo mimi , mwenye nayo aliunganisha sentensi zote)

Tuna watu wanaangukia katika makundi hato TZ? ( Wapo, nitataja baadaye)
Ukitaka kuishi kwa raha usiwe uwe katikati...
Watu wanajikuta wana akili sana huwa hawana raha. Ni sawa nchi hii wenye kuelewa mambo na kuona jinsi viongozi wanavyoitafuna nchi hawana raha maana hata wakijaribu kuwaelimisha wananchi hawaelewi. Wanabaki kuwa na sonona.
 
Back
Top Bottom