Nimeipenda hii toka kwa mtu anajiita Mishy, ngoja nikumegee na uitafakari

Nimeipenda hii toka kwa mtu anajiita Mishy, ngoja nikumegee na uitafakari

nakubaliana na hoja kwa asilimia nyingi lakini kiujumla kuwa peke yako / kujitenga sio ishara kuu ya intelligence.

mimi binafsi ni highly antsocial person lakini sioni maajabu yoyote ya intelligence ndani yangu, nipo nipo tu kama mzimu.

labda kabla ya kusema intelligents people wanakuwa peke yao au wanatengwa kwanza tungejiuliza hiyo intelligent ni nini na unaweza kuitambua vipi kwenye mazingira yanayo tuzunguka
Inasemekana mtu intelligent hajisomi kama ni intelligent bali watu ndo humsoma uwezo wake.

Kwa mwandiko wako inawezekana nawe ni mmoja wao.
 
C&P

The Curse Of Intelligence Is Isolation.
When You Are Intelligent There's Always A High Chance That You Are Alone.
Fools Attract Crowds.
Stupid People Love Stupid Ideas That Glorify Theirs Ignorance.
That's Why Most Intelligent People Are Controversial and Hated

(NOTE: nimeipanga hivyo mimi , mwenye nayo aliunganisha sentensi zote)

Tuna watu wanaangukia katika makundi hato TZ? ( Wapo, nitataja baadaye)
Very true, the more curious are you, the more busy you will be. You will use little time to other people.
 
Kwani huoni wanaopost ujinga so humu jf ,TikTok sijui, twitter na Instagram wakuwaga na likes nyingi hata comments coz wengi wanapenda ujinga ujinga ndo utakuwa na wafuasi wengi ...Mambo ya udaku ,matusi lazima tu uwapate.

Mara nyingi intelligent anajiamini na hapendi appreciation yeyote ili kukubali mawazo yake kila mda anajiona yupo sawa ndo maana hanaga time za kumingle na watu .
Ukiona uzi una comment nyingi uchunguze vizuri tatizo watu wakiambiwa ukweli hawakubali.
 
Kwani huoni wanaopost ujinga so humu jf ,TikTok sijui, twitter na Instagram wakuwaga na likes nyingi hata comments coz wengi wanapenda ujinga ujinga ndo utakuwa na wafuasi wengi ...Mambo ya udaku ,matusi lazima tu uwapate...
Fact,
 
Back
Top Bottom