Faah stupid people love stupid ideasC&P
The Curse Of Intelligence Is Isolation.
When You Are Intelligent There's Always A High Chance That You Are Alone...
Lema angeisoma hii, angelifuatili humo humo na kusinglikuwa na mabishanoStupid People Love Stupid Ideas That Glorify Theirs Ignorance.
Umeona eh!Ni sahihi kwa asilimia zote
Hii kauli itaishi sana mzee alikula mrenda cjui😅😅Mzee wa Lushoto 😀 😀 😀 😀
taabu ipi rafiki?Napata tabu sana.
Asante sana tena sana!Laana Ya Akili Ni Kutengwa.
Unapokuwa na Akili Daima Kuna Nafasi Kubwa Kuwa Uko Peke Yako...
Wajinga Huvutia Umati.
Fools Attract Crowds.
Ukitaka kuishi kwa raha usiwe uwe katikati...C&P
The Curse Of Intelligence Is Isolation.
When You Are Intelligent There's Always A High Chance That You Are Alone.
Fools Attract Crowds.
Stupid People Love Stupid Ideas That Glorify Theirs Ignorance.
That's Why Most Intelligent People Are Controversial and Hated
(NOTE: nimeipanga hivyo mimi , mwenye nayo aliunganisha sentensi zote)
Tuna watu wanaangukia katika makundi hato TZ? ( Wapo, nitataja baadaye)
Tabia za watu wawili tofauti unazo mwenyewe?Kanizungumzia mimi💯💯💯 sina cha kuongeza