Nimeipenda hii toka kwa mtu anajiita Mishy, ngoja nikumegee na uitafakari

Inasemekana mtu intelligent hajisomi kama ni intelligent bali watu ndo humsoma uwezo wake.

Kwa mwandiko wako inawezekana nawe ni mmoja wao.
 
Very true, the more curious are you, the more busy you will be. You will use little time to other people.
 
Ukiona uzi una comment nyingi uchunguze vizuri tatizo watu wakiambiwa ukweli hawakubali.
 
Kwani huoni wanaopost ujinga so humu jf ,TikTok sijui, twitter na Instagram wakuwaga na likes nyingi hata comments coz wengi wanapenda ujinga ujinga ndo utakuwa na wafuasi wengi ...Mambo ya udaku ,matusi lazima tu uwapate...
Fact,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…