Nimeipenda nyumba Salasala, bei yake 150 million. Nifanyeje niipate?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie sio mtunukaji, hebu nitake radhii wee.
Nimecheka mnoo, hivi hili neno "kutunuku" lina maanisha nn yaan?
Unajizima data mdogo wetu au sioπŸ˜„πŸ˜πŸ˜„
 
πŸ˜… πŸ˜… πŸ˜… subiri kwanza, mtoa mada amalizane na wewe, aje kinyume nyume mpaka Manzese umtunuku mafuta ya upako ?

je ameanza safari ?
Namsubiri mtoa mada aje naona yuko kimya sijui ndo ana jifkiria kwanza au vp 😁😁
 
Unakaa masaki au mbezi beach kwanza ..? Isije kuwa unakaa manzese kama mm afu useme hujui maana ya kutunuku ..? Kutunuku ni kumzawadia mtu kitu chochote kile
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ktk neno silipendi ni hili, bora useme nipatie, naomba, nibarikie, kutunuku limekaa km kumdharau anayetakiwa kutoa kitu husikaa.

Silipendi hili neno,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…