Nimeipenda nyumba Salasala, bei yake 150 million. Nifanyeje niipate?

Nimeipenda nyumba Salasala, bei yake 150 million. Nifanyeje niipate?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie sio mtunukaji, hebu nitake radhii wee.
Nimecheka mnoo, hivi hili neno "kutunuku" lina maanisha nn yaan?
Unajizima data mdogo wetu au sio😄😁😄
 
Unakaa masaki au mbezi beach kwanza ..? Isije kuwa unakaa manzese kama mm afu useme hujui maana ya kutunuku ..? Kutunuku ni kumzawadia mtu kitu chochote kile
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ktk neno silipendi ni hili, bora useme nipatie, naomba, nibarikie, kutunuku limekaa km kumdharau anayetakiwa kutoa kitu husikaa.

Silipendi hili neno,
 
Back
Top Bottom