jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
Licha ya hivyo bado maendeleo yatawagusa wote wenye vyama na wasio na vyama.Maendeleo Yana chama.
Katibu wenu mwenyewe amekiri nchi imeharibiwa.
Imeharibiwa wakati viongozi wote ni wenu.
Kusini ipi?mana kusini nimeishi na nawajua vizuri..hawa wa kusema unaenda kununua kwa mtu wa kaskazini kwani atakuzika ukifa.?kuna maeneo machache ambayo hayana ubaguzi wa kikanda kwa kusini kama masasi au mtwara mjini ila kwengine kote ni ubaguzi..hadi maofisi.Bukoba ulisha fanya nao kazi ofisini ukajua usemacho? Kilimanjaro pia changanya na waMeru. Sehemu pekee inakaribisha wageni pasi kuwabagua ni Kanda ya Usukumani na Kusini, kila mtu hua ana lake la kusema na tukitaka kusema hapa tutazua mjadala mkubwa usio na faida
Una uhakika shida ni bukoba au hata mentality yako na jaribu kuangalia hicho kitu hakifanywi na watu wengine kuna watu ni wepesi kuhukumu utafikiri wao hawana dhambiBukoba ulisha fanya nao kazi ofisini ukajua usemacho? Kilimanjaro pia changanya na waMeru. Sehemu pekee inakaribisha wageni pasi kuwabagua ni Kanda ya Usukumani na Kusini, kila mtu hua ana lake la kusema na tukitaka kusema hapa tutazua mjadala mkubwa usio na faida
Wachaga na watu wa wa arusha huwa wanapenda kujitenga na wengine same to muslims..hasa vyuoni na mashuleni..sijui ndivyo wanavyofundishwa huko manyumbani kwao.Nimesoma na jamaa wa chuga si fichi ni wabaguzi mno mbaya walikuwa wachache mpaka wakawa wanagombana na watu wa dar makundi daily maisha ya boarding bhana
Kwahiyo ni sifuge na kula na familia na ndugu zangu?Sasa unaona matatizo yako, unataka kuwapelekea nguruwe wakati kwao ni haramu? Wewe kauze urojo kama utamwona mtu yeyote ana muda wa kukubagua.
Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
Correct, ukabila upo kidogo sana. Watu ambao hawajasafiri wanaona Dar ndio kila kitu, wanasahau kwamba kila mkoa una fursa zake. Katavi kuna fursa sana za mazao na uvuviKabisa mkuu. Kuna jamaa yangu yuko katavi alikuwa anaishi dar akapata kazi wakamrusha huko. Anakwambia katu harudi dar now mwaka wa pili keshanunua eneo anataka anza kujenga.
Ukabila upo ila sio kiasi hicho.
Nayaona hata Mimi,Kuna fremu za duka kwa mwaka wanapangishwa watu watatu anafugua biashara inamshinda anafunga anarudisha fremu anapanga mwengine ,lakini pembeni unakuta Kuna duka la mangi halifi miaka yoteArusha ukiwa mgeni na haujaja kuleta competition na biashara/mbishe za watu utaishi fresh tu,yaani unatakiwa kua fala flani hivi ili uishi fresh.Lkn ukija Kama mpambanaji na umeleta competition ya maana utaukimbia huu mji.
Nimeongea Kama mzaliwa na mwenyeji wa hapa.
You are rightBakini na ukabila wenu kuwahukumu hata ambao hawajawai kuwakosea kisa kabila ila msisahau siku ya mauti kila nafsi itahukumiwa kutokana na mzigo wake wa dhambi.
Tusisahau hakuna aliveyekua na option ya kuchagua kabila
Kuhusu wairaque ni uongo sijawahi kuona kitu kama hichoMijini na kazini ndo kuna mambo ya kubaguana. Ukienda vijijini ndani kabisa kuna ukarimu wa hali ya juu bila kujali uko mkoa gani ila kwa wamasai unaweza kupata changamoto sababu ya mila na desturi. Ukienda kwa Wairaque unapewa wadada wawili wakupe support usiku kama wataona una wasiwasi kulala peke yako.
Wana upendo wa kinafiqwi hatariNikitaka kusema hivi pia, ni unafiki zaidi ya ukarimu.
Ila Bukoba, hapana...nimekaa pale kwa mda kiasi, kwenda na kurudi..hapana bwana!!
Hii nadhan ni comments zaid ya kumi inawakataa hawa jamaa,inabid watu wa Bukoba mjitafakariLushoto sawa
Moshi sawa
Lakini Bukoba? Mhhh Bukoba ipi wewe ulikwenda?
Isije ikawa unaongelea mtaa wa Bukoba hapo Manzese nyuma ya Bakhresa.
Nimekaa wilaya ya Handen kama mwaka,ilifika mahali wazee wakaniambia tafuta binti hapa kijijin tukuozeshe ila sikuwa tayari kuoaNimebahatika kufanya kazi karibu wilaya zote Tanzania nzima Ila mkoa wa Tanga pamoja na wilaya zake zote toka kilindi, kwediboma, Handeni, Korogwe, Lushoto, muheza, tanga mjini Mpaka Mkinga kwa wadigo ndo the best place kwa kuishi na watu wakarimu. Nimetembea Tanzania nzima Ila hakuna sehemu nzuri unayoweza kuishi kwa Raha na amani kama Tanga.
Ukikaa Tanga huwezi kupachoka miaka 800 na usipokuwa makini unaweza amia mazima Kama ww ni mgeni.
Mkuu hata wanawake wana pumbuzCha ajabu wao wakija mkoani hua hawaji wakiwa wamebeba Nazi.Wanaletaga pumbuh zao tu.
Bkb...!Mtu ukishindwa kuishi bukoba utakuwa na matatizo ya kisaikologia
Wabaguzi wa kufa yanimi nimefanya na wachaga ni wabaguzi kiasi fulani haswa mtu hawezi kumtakia mwenzie hbd mpaka aandike mara chugaboy mara chaga boy mtu alifunga tu kuna mechi wanampost eti wanyumbani
π π π
Hakuna kitu kama hicho utoke mkoani usiwabebe hata maharage huyo labda alikuwa mdaslam alienda akakaa kidogo akarudi ndio huwa wanarudi mikono mitupuHa ha ha nimecheka kwa sauti lakini mbona hata wa mikoa huwa wanakuja hivyo hivyo na pumbuh zao tuuuu?