Nimeishi Moshi, Bukoba, Lushoto aisee watanzania tuna ukarimu sana tofauti na tunavyoshambuliana kwa tofauti zetu

Nimeishi Moshi, Bukoba, Lushoto aisee watanzania tuna ukarimu sana tofauti na tunavyoshambuliana kwa tofauti zetu

Maendeleo Yana chama.
Katibu wenu mwenyewe amekiri nchi imeharibiwa.
Imeharibiwa wakati viongozi wote ni wenu.
Licha ya hivyo bado maendeleo yatawagusa wote wenye vyama na wasio na vyama.

#MaendeleoHayanaChama
 
Bukoba ulisha fanya nao kazi ofisini ukajua usemacho? Kilimanjaro pia changanya na waMeru. Sehemu pekee inakaribisha wageni pasi kuwabagua ni Kanda ya Usukumani na Kusini, kila mtu hua ana lake la kusema na tukitaka kusema hapa tutazua mjadala mkubwa usio na faida
Kusini ipi?mana kusini nimeishi na nawajua vizuri..hawa wa kusema unaenda kununua kwa mtu wa kaskazini kwani atakuzika ukifa.?kuna maeneo machache ambayo hayana ubaguzi wa kikanda kwa kusini kama masasi au mtwara mjini ila kwengine kote ni ubaguzi..hadi maofisi.

#MaendeleoHayanaChama
 
Bukoba ulisha fanya nao kazi ofisini ukajua usemacho? Kilimanjaro pia changanya na waMeru. Sehemu pekee inakaribisha wageni pasi kuwabagua ni Kanda ya Usukumani na Kusini, kila mtu hua ana lake la kusema na tukitaka kusema hapa tutazua mjadala mkubwa usio na faida
Una uhakika shida ni bukoba au hata mentality yako na jaribu kuangalia hicho kitu hakifanywi na watu wengine kuna watu ni wepesi kuhukumu utafikiri wao hawana dhambi
 
Nimesoma na jamaa wa chuga si fichi ni wabaguzi mno mbaya walikuwa wachache mpaka wakawa wanagombana na watu wa dar makundi daily maisha ya boarding bhana
Wachaga na watu wa wa arusha huwa wanapenda kujitenga na wengine same to muslims..hasa vyuoni na mashuleni..sijui ndivyo wanavyofundishwa huko manyumbani kwao.

Tabia za ajabu sana.

#MaendeleoHayanaChama
 
Kabisa mkuu. Kuna jamaa yangu yuko katavi alikuwa anaishi dar akapata kazi wakamrusha huko. Anakwambia katu harudi dar now mwaka wa pili keshanunua eneo anataka anza kujenga.
Ukabila upo ila sio kiasi hicho.
Correct, ukabila upo kidogo sana. Watu ambao hawajasafiri wanaona Dar ndio kila kitu, wanasahau kwamba kila mkoa una fursa zake. Katavi kuna fursa sana za mazao na uvuvi
 
Arusha ukiwa mgeni na haujaja kuleta competition na biashara/mbishe za watu utaishi fresh tu,yaani unatakiwa kua fala flani hivi ili uishi fresh.Lkn ukija Kama mpambanaji na umeleta competition ya maana utaukimbia huu mji.

Nimeongea Kama mzaliwa na mwenyeji wa hapa.
Nayaona hata Mimi,Kuna fremu za duka kwa mwaka wanapangishwa watu watatu anafugua biashara inamshinda anafunga anarudisha fremu anapanga mwengine ,lakini pembeni unakuta Kuna duka la mangi halifi miaka yote
 
Bakini na ukabila wenu kuwahukumu hata ambao hawajawai kuwakosea kisa kabila ila msisahau siku ya mauti kila nafsi itahukumiwa kutokana na mzigo wake wa dhambi.

Tusisahau hakuna aliveyekua na option ya kuchagua kabila
You are right
 
Mijini na kazini ndo kuna mambo ya kubaguana. Ukienda vijijini ndani kabisa kuna ukarimu wa hali ya juu bila kujali uko mkoa gani ila kwa wamasai unaweza kupata changamoto sababu ya mila na desturi. Ukienda kwa Wairaque unapewa wadada wawili wakupe support usiku kama wataona una wasiwasi kulala peke yako.
Kuhusu wairaque ni uongo sijawahi kuona kitu kama hicho
 
Nimebahatika kufanya kazi karibu wilaya zote Tanzania nzima Ila mkoa wa Tanga pamoja na wilaya zake zote toka kilindi, kwediboma, Handeni, Korogwe, Lushoto, muheza, tanga mjini Mpaka Mkinga kwa wadigo ndo the best place kwa kuishi na watu wakarimu. Nimetembea Tanzania nzima Ila hakuna sehemu nzuri unayoweza kuishi kwa Raha na amani kama Tanga.
Ukikaa Tanga huwezi kupachoka miaka 800 na usipokuwa makini unaweza amia mazima Kama ww ni mgeni.
Nimekaa wilaya ya Handen kama mwaka,ilifika mahali wazee wakaniambia tafuta binti hapa kijijin tukuozeshe ila sikuwa tayari kuoa
 
mi nimefanya na wachaga ni wabaguzi kiasi fulani haswa mtu hawezi kumtakia mwenzie hbd mpaka aandike mara chugaboy mara chaga boy mtu alifunga tu kuna mechi wanampost eti wanyumbani
😀 😀 😀
Wabaguzi wa kufa yani
 
Watu wa Dar sio kwamba Wana roho mbaya ila maisha ni magumu. Wengi wao wanapambania chakula bado hata ukimuambia unaenda kwake lazima akupige chenga
Mikoani chakula si kitu Cha kumuumiza mtu kichwa kabisa
 
Ha ha ha nimecheka kwa sauti lakini mbona hata wa mikoa huwa wanakuja hivyo hivyo na pumbuh zao tuuuu?
Hakuna kitu kama hicho utoke mkoani usiwabebe hata maharage huyo labda alikuwa mdaslam alienda akakaa kidogo akarudi ndio huwa wanarudi mikono mitupu


Ila watu wa mikoani ni wakarimu sana hawana aiba ya uchoyo kama hapa dar mtu anakubebea mazagazaga kama yote anakuja kwenye mambo yake unamuuliza ataondoka lini ? Mbona tukienda mkoani hawatuulizi hayo maswali ?


Ktk sehem zote Tanzania dar sijui kuna shida gani
 
Back
Top Bottom