Nimeishiwa nguvu na nimekuwa Mtu mwenye kukata tamaa kwa Mkasa ulionikuta

Waeleze ukweli.
jinsi watakavyokuona haina shida hata kidogo kama mchumba wako anakupenda na anataka awe na wewe.
ataendelea kuwa nawe na mtavumiliana mpaka ujipange upya. mana iyo ishu ni wewe na mchumba ako hao wengine sio wa kuwa wazia sana.

ukiangalia upande wa pili, pengine halikua fungu lako na umeepushiwa mabaya kwa laki 7.
 
Team Kataa Ndoa sijui hawapo online muda huu?

Wakija watasema ndoa ni Ubatili, Shukuru Mungu amekuletea ajali kukuepusha na ndoa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mapemaa tuuu
 
Bajaj haikua na bima?
 
Utalipa tuu peleka hyo elfu 50 kwanza...haina shida.
Pole
 
Usiumize kichwa ndugu,kwa kuwa Unaenda kupangiwa magari wewe nenda TU.mkimaliza utawaambia nitamakuzia baada ya miezi sita lakini NAOMBA binti yenu nikaishi NAE.
Tafuta TU laki 2 au moja na busy uende nayo
 
Shukran sana mkuu 🙏🏼
 
Ahsante Sana mkuu
 
Shukran sana mkuu
 
🙏🏼🙏🏼
 
KATAA NDOA
 
Oyaa mzee Ushimen siku nikivurugwa na nikataka kuoa. Basi Nita kuita twende😂🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…