Nimeisikiliza hii hotuba ya Magufuli, nimeishia kutoa machozi tu

Rais yupi alilipa mshahara tarehe 15 ya mwezi unaofuata? Aache uongo huyu mwendazake
 
Hiyo miradi ndiyo inayolipiwa na tozo na mikopo ya sasa. Hakuna kitu cha bure duniani.
 
Yaan mwanaume unatoa machozi kwa sauti tu?? We jamaa nyanda yupo au akishaondolewa kwa nguvu??
 
Magufuli alikuwa mbobevu wa uongo. Dar - Bukoba ndege 2m? Lini hiyo? Halafu kipindi chake ikawa 200k?

Lini wakati wa kikwete mishahara ilichelewa? Halafu anaongea as if pesa ni zake.
Nilishakupa ushauri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…