Nimeisikiliza hii hotuba ya Magufuli, nimeishia kutoa machozi tu

Nimeisikiliza hii hotuba ya Magufuli, nimeishia kutoa machozi tu

RIP Ben Sanane, Azory,
Rwajabe n so on [emoji24]
giphy.gif
 
Enzi za Mwinyi mshahara ilikuwa hadi tarehe 45.

Mkapa ilikuwa kuanzia tarehe 19 hadi 25.

Kikwete ilikuwa tarehe 25 hadi 28.

Mwamba akashusha kwenda tarehe 22 hadi 23.

Nimepitia mishahara yote hiyo. Naielewa vizuri sana. Nilianza na 6775.50 ikiwa imejumuisha na posho ya mazingira magumu.
 
Huu upupu uliojaza hapa, bora ungeendela kulala. Yaan hujui kuwa hata mshahara walipe kila tar 15 bado itakuwa siku 30??
 
Huu upupu uliojaza hapa, bora ungeendela kulala. Yaan hujui kuwa hata mshahara walipe kila tar 15 bado itakuwa siku 30??
Yani mwezi huu ulipwe mshahara let's say tarehe 23, then mwezi ujao ulipwe tarehe 31,itakua bado ni siku 30 hizo?naona wewe ndiye ulitakiwa kuendelea kulala mkuu
 
Utaratibu wa salaries kulipwa 23-24 kama sikosei alianzisha Mkapa au JK ila sio huyu kiongozi wa Malaika
Acha uongo mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.kipindi cha JK kilikuwa worse zaidi.upigaji ulikuwa mkubwa na ndo kipindi ambacho biashara ya madawa ya kulevya yalishamiri.
 
Acha uongo mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.kipindi cha JK kilikuwa worse zaidi.upigaji ulikuwa mkubwa na ndo kipindi ambacho biashara ya madawa ya kulevya yalishamiri.
Hatuzungumzii madawa, hatuzungumzii upigaji, tunazungumzia kulipwa kwa salary, uwe unasoma kabla ya kujibu!
 
Endelea kupumzika kwa amani
mheshimiwa .

Aliyewahi kulipwa salary tarehe 15 ya mwezi mwingine aje hapa aweke salary slip..

Huu ujinga aliweza kuwashika wapuuzi kama mtoa mada..

Huyo jamaa anaongea as if alikuwa anafanya hisani kutoka kwa pesa za baba yake na anaongea kana kwamba hivyo alivyosema havikuwahi kufanyika hapa Tanzania..

By the way hakuna mradi hata mmja aliumaliza hata Stand ya Magufuli alitoizindua haikukamilika sasa miaka 5 yote alikuwa anaanzisha bila kuimaliza Ili iwaje?

Huku ndio kushindwa kuwa focused unashika kile hakijaisha unadakia kwingine na blaa blaa kibao matokeo yake aka stress uchumi na kuharibu afya ya uchumi wa Nchi kwamamiradi mengine yasiyokuwa kipaombele kama masoko na Mastand ambayo watu hawataki hata kuyatumia..
 
Enzi za kikwete mishahara ilikua hadi tarehe 40 huko
Sio kweli Mishahara ilikuwa inachelewa enzi za Mzee Mwinyi kipindi cha Kikwete licha ya mishahara kuwahi pia ilikuwa inaongezwa kila mwaka
 
Huyu tuliyenae anakatisha tamaa kwa kweli, yaani terudi enzi za msoga, inaumiza sana. Apumzike kwa amani.
 
Back
Top Bottom